KSh288Original price was: KSh288.KSh260Current price is: KSh260.
Kalulu anampeleka ng’ombe wake sokoni kumuuza. Njiani, anapata mnunuzi wa ajabu ambaye ni mti wa mbuyu uliokauka.
Itakuwaje mti uuziwe ng’ombe?
Kalulu na Mti Mkavu ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la nne katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.
Mradi wa kusoma ni vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
KSh255Original price was: KSh255.KSh230Current price is: KSh230.
Kamba ya Karo
Author: Timothy Omusikoyo
ISBN: 978-9966-631138
Vitabu hivi ni mfululizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu rahisi vya kusomwa na watoto wanaoanza kusoma hadi vile vyenye ugumu kiasi vya kusomwa na watoto wenye uwezo ulioimarika wa kusoma.
KSh711Original price was: KSh711.KSh640Current price is: KSh640.
Tambo njoo unisaidie. Nimeshalishika lile jisamaki kubwa linaloogelea huru mawinguni bila ya kumeza ndoana … Leo limemeza ndoana … Njoo unisaidie kulivuta jisamaki hili … Je, sikukwambia, Tambo, kwamba kamwe si mbali tena?” Katika riwaya…
KSh670Original price was: KSh670.KSh640Current price is: KSh640.
“Tambo njoo unisaidie. Nimeshalishika lile jisamaki kubwa linaloogelea huru mawinguni bila ya kumeza ndoana limemeza ndoana … Njoo unisaidie kulivuta jisamaki hili… Je, sikukwambia, Tambo, kwamba kamwe si mbali tena?” Katika riwaya hii kila kizazi kinapitia nyakati mbalimbali zinazoathiriwa na usasa. Ina hadithi za watu wanaolishana halua au shubiri. Ndani ya hadithi hizo mnaibuka usuria,…
KSh700Original price was: KSh700.KSh650Current price is: KSh650.
Chifu Abdullah anaingia katika kazi ngumu kuliko zote alizowahi kuzifanya katika maisha yake, kazi ya kuisaka kanda iliyopotea katika kasri yake. Kanda yenyewe inatembea kutoka mkono mmoja hadi mwingine, huku pande mbili zinazoisaka zikitumia nguvu, pesa na akili kuitafuta. Msako wa kanda unakutanisha watu wenye tajriba pana katika mambo ya uhalifu. Wapo wanaojeruhiwa, wapo wanaoumizwa,…
KSh466Original price was: KSh466.KSh420Current price is: KSh420.
Karanga Ajikaanga ni mkusanyiko wa visa vya kuelimisha, kuburudisha na kufahamisha vinavyojadili maisha ya vijana katika sehemu za mashambani. Wahusika ni vijana wa kawaida wanaopuuza ushauri wa wazazi.
KSh544Original price was: KSh544.KSh490Current price is: KSh490.
Roho ya tamaa na ubinafsi inaweza kumsukuma binadamu kufanya maovu yasiyo mfano. Ni nini kinamsukuma Makali Radi kuwa katili kwa ndugu yake na mwandani kiasi cha kufikia uamuzi wa kumuua? Pata nakala yako ya riwaya ya #KashaJeusi ili upate uhondo kamili
KSh233Original price was: KSh233.KSh210Current price is: KSh210.
Vitabu vingine vya Visa na Vituko
4.a Sungura na Mbwa – Bitugi Matundura
4.b Mamba Mnafiki – Bitugi Matundura
4.c Pilipili ya Miri – Arnold Msuya
4.d Mwiba wa Kujidunga – Masera Lewela
4.2 Katana na Kaka Zake – Julia Wacharo
4.f Kijana Mwaminifu – Pamela Ngugi
4.9 Kisa cha Nyange – Bitugi Matundura
4.1 Hazina na Abdul – Mathias Momanyi
4. Bidii ya Zangi – Rebecca Nandwa
KSh225Original price was: KSh225.KSh203Current price is: KSh203.
Baba yake Katana na Rehema ni mkulima. Yeye ana shamba la mahindi. Mahindi yanaibiwa shambani hakuna mtu anajua mwizi ni nani. Katana na Rehema wakienda shuleni siku moja, mbwa wao anawafuata. Wakiwa njiani, wanawaona watu wawili shambani mwao.
Rehema na Katana wanajificha na kuwachungulia watu hao…..
KSh450Original price was: KSh450.KSh375Current price is: KSh375.
Kauli ya Leo ni diwani yenye mashairi arobaini, yakiwemo ya kiarudhi na huru. Mashairi katika diwani hii yameangazia masuala mbalimbali yanayoikumba jamii ya leo, kama vile majukumu ya kijinsia, utunzaji wa maliasili, uhuru wa wanyama, haki za watoto, teknolojia, magonjwa, lishe bora, usalama na uongozi bora. Mashairi katika diwani hii yatamsaidia mwanafunzi kufikia matarajio yaliyowekwa…