KSh400Original price was: KSh400.KSh360Current price is: KSh360.
Je, huu ni uungwana? 8b  ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya shajara, tawasifu, barua, utambaji wa hadithi, mbinu rejeshi, hotuba   kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dagolojia, misemo, methali. taharuki, tashihisi. tanakati za sauti, kejeli, vichekesho na   picha za rangi zenye kusisimua.  kuwapitisha na kuwatea wanafunzi katika mazingira ya afya, madawa ya kulevya, siasa. unyumba. ujirani mwema. uvumilivu, uadilifu. haki za watoto, kazi,uwajibikaji, utu, adabu, teknolojia, habari na mawasiliano. Mradi wa Kusoma ni mfutulizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
KSh450Original price was: KSh450.KSh375Current price is: KSh375.
Jipe Moyo, Diwani ya Mashairi ni diwani yenye mkusanyo wa mashairi yaliyotungwa kutokana na masuala katika mitaala ya Kiswahili, kwa Gredi ya Saba, Nane na Tisa. Mashairi haya yametungwa kwa ufundi mkubwa ili kufundisha stadi mbalimbali za maisha, kuburudisha na kukashifu mambo yasiyofaa katika jamii. Mashairi katika diwani hii yanakidhi maudhui katika masuala mbalimbali kwenye…
KSh533Original price was: KSh533.KSh480Current price is: KSh480.
Onyango anapotelea msituni anapocheza na marafiki zake wanne katika kitongoji kimojawapo cha jiji la Nairobi. Msitu huo ni makao ya Chakaa-chakachaka, jitu lenye nywele kote mwilini, ambalo mlo wake linaloupenda zaidi ni watoto. Baada ya kupata mashauri kutoka kwa mtu mmoja ambaye ndiye wa pekee aliyewahi kunusurika kifo alipozuiliwa na jitu, marafiki wanne wanafunga safari ya kutisha kuenda kumtafuta Onyango kwa azimio wanaloliita 000! Oparesheni Okoa Onyango! Watoto hao wanakumbwa na kizingiti baada ya kizingiti, kama vile, kukabiliana na mamba, fisi na wanyama wengine hatari mno.Wakielekea pangoni mwa jitu. Je, watawahi kumwokoa Onyango kabla hajafanywa na jitu kuwa nyama choma? Ni vipi watakavyolikabili jitu lile la kutisha? Je, watanusurika kifo?
KSh2,666Original price was: KSh2,666.KSh2,400Current price is: KSh2,400.
premium quality multipurpose copier paper ideal for high-speed printing and photocopying. Smooth finish, jam-free performance, and vibrant print clarity.
KSh500Original price was: KSh500.KSh450Current price is: KSh450.
Stories that teach life skills
This story is for children aged 11-14 years (Class 6-8). It is a book that helps children learn, develop resilience and self-identity.
Joseph Miremba is a 12- year old Ugandan schoolboy. Through a pen-pal programme, he starts writing to Nimara de Silva, a 12-year old girl studying in a Sri Lankan Catholic School. Nimara starts a letter-writing campaign. She writes to the leader of Rebel Army and to influential leaders around the world begging for Joseph’s release. She recruits her school friends, teachers and even total strangers from around the world to write the letters. In the meantime, Joseph struggles to survive as a child soldier. Will Nimara’s campaign bear any fruit? Will Joseph ever be set free?
KSh466Original price was: KSh466.KSh420Current price is: KSh420.
Bwire anaishi na nyanya na babu zake ambao hawana bee wala tee ijapokuwa wao ni wazazi wa daktari mashuhuri jimboni. Licha ya changamoto chungu nzima, Bwire ana ndoto maishani. Amefua dafu katika mtihani wa taifa wa Darasa la Nane. Atatoa wapi pesa za kusomea shule ya upili? Ndoto yake iatafifia?
Nyaya yake, Bi Zahara, anampasulia mbarika kuhusu hali iliyowakumba wazazi wake hata wakasalia mafuta na maji. Taarifa anayopata kwamba mama yake anaishi Eldoret inamchochea kefunga safari kuenda kumtafuta. Je, atampata mama yake?