Kifimbo cheza 4c by Ahmed
Original price was: KSh288.KSh260Current price is: KSh260.ISBN: 9780195730722
Showing 781–800 of 2090 results
ISBN: 9780195730722
Tamthilia ya Kigogo inamulika baadhi ya masuala yanayoibuka katika nchi zinazoendelea za Bara la Afrika. Huku wakazi wa Sagamoyo wakijiandaa kuadhimisha siku ya uhuru utakaosherehekewa kwa mwezi mmoja na kujivunia `maendeleo makuu; Soko la Chapakazi, ambalo ndilo tegemeo la wengi jimboni, linafungwa ghafla. Je, viongozi wamelifunga kwa nia gani? Wakazi wa Sagamoyo wanaolitegemea kujipa riziki watafanya nini? Tamthilia hii inatoa picha halisi ya nchi inayojivunia miaka mingi ya uhuru. Je, uhuru huo unamfaidi nani?
ISBN: 9789966066633
Binti Kitabu anafunga safari ya kwenda Kijiji cha Maonevu kuakomboa wanakijiji dhidi ya maonevu ya Binti Maringo. Binti Maringo anatumia nguvu za kichawi kumtorosha
mumewe kutoka Kijiji cha Maonevu.
ISBN:9789966622730
Mazimwi yanatoka baharini na kuwapapasa watoto hasa wa umri mdogo katika Kijiji cha Kisiwani. Watoto wanaugua na hatimaye wanatoweka. Mkazi wa kijiji jirani anawaonea huruma wakazi wa kisiwani. Soma na ufahamu jinsi wakazi walijikomboa kutoka janga la
mazimwi.
ISBN:9789966622549
Viongozi wa Kijiji cha Mibabedume wanashikilia utamaduni unazowakandamiza wasichana
na wanawake. Binti Kitabu anatumia elimu ya kitabu kuwakomboa kimawazo.
Wakazi wa Kijiji cha Ukame wanafyeka misitu na kujigawia mashamba. Muda si muda mvua inakosekana na wanakumbwa na athari za kiangazi. Hawana maji wala chakula. Mimea inanyaukia mashambani huku mifugo wakifa kwa kukosa lishe na maji. Je, watafuata ushauri wa Binti Kitabu kuhusu uhifadhi wa mazingira?
Makabila ya Wavuvi na Wakulima yanawindana kama paka na panya,. Wakati wa uchanguzi, kila kabila linachagua mtu wao bila kujali sifa zake za uongozi.
Kiongozi mpya anapigania maslahi ya waliomchagua akipuuza kabila jingine. Uhasama unazuka miongoni mwa wanaobaguliwa .Athari za vita vya kikabila vinalemeza maendeleo ya eneo. soma kitabu hiki ufahamu jinsi binti kitabu anavyotumia maarifa kupatanisha makabila haya na kufufua maendeleo.
ISBN:9789966622594
Binti Kitabu ni mwanamke anayejitahidi kupigania haki za wanadamu na kuendeleza elimu ya vitabu. Anafanya hivyo kwa kuvikomboa vijiji mbalimbali dhidi ya maonevu na udhalimu wa viongozi waovu.
ISBN:9789966622747
ISBN: 9789966255761
“This is a very simplified step to introduce money lessons to young children.It is designed to help children appreciate the value of money and embrace a saving culture.”
It is good to teach children about finances. They grow up with a responsible attitude about money. Later, they use their money wisely.
This book is designed to help children appreciate the value of money and embrace a saving culture. This is an interesting story about a small girt, Kiki. She saves money in her piggy bank. Later she opens a bank account.
Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.
Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Kwanza na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni:
– Karibu darasani
– Mimi na wenzangu
– Tarakimu
ISBN: 9789966141118
Kumbo hili la hadithi za kupendeza zenye mguso wa Kiafrika tena za kifoniki lina jumla ya hadithi kumi na sita. Kila hadithi inaanza kwa kutanguliza sauti lengwa, vianzio, maneno teule, na maneno yenye urari. Hadithi hizi zinalenga kurahisisha ufunzaji wa stadi maalum za usomaji. Msururu huu utamsaidia msomaji kukuza stadi za usomaji darasani na kupalilia tabia ya kusoma maktabani na katika mazingira mbalimbali ikiwemo nyumbani na hivyo kukuza stadi za maisha na maadili.
ISBN: 9789966140869
King of all Fish
ISBN: 2010141001222
King of all Fish
ISBN: 2010141001222
King Saul and David Author: Sarah Ambiyo ISBN: 978 9966 347 65 7 David becomes not only successful in war but the people of Israel come to love him more than they love King Saul. The king becomes jealous of David and plans to kill him.
SBN: 9789966344366
End of content
End of content
Don't have an account yet? Sign up
No items in your cart. Go on, fill it up with something you love!
Start Shopping Now