Kanda ya Siri
KSh655.00 Original price was: KSh655.00.KSh590.00Current price is: KSh590.00.
ISBN: 9780195747317
Related products
-
Ziara ya Meno by Zawadi
KSh211.00Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartZiara ya Meno Siku ya Meno ni hadithi ya pili katika msururu wa “Mazingira na Afya’.
Kitabu hiki kinashughulikia usafi na afya ya meno. Lengo hili limetimizwa kupitia safari ya akina Baraka na Zawadi.
Njia za kutunza meno na athari za kutoyatunza zimewekwa wazi kupitia majadiliano baina ya wahusika.
Je, wahusika wananufaika mwisho wa kikao?ISBN: 9789966788849
-
Kuku and the Red eggs by Queenex
KSh211.00Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartKuku has laid six eggs. She is afraid that animals might steal her eggs. Then she will not have six chicks. She comes up with a plan that scares away her enemies.
Read the captivating story to find out how Kuku’s clever plan.
This is an interesting story that encourages readers to think critically when confronted with a problem.
ISBN: 9789966075901
-
Siri ya baba yangu kitabu cha kwanza by Yahya Mutuku
KSh355.00Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartNi wakati wa usiku, usiku wa mashetani wakati kijana Fadhili anapozinduka na kumfumania baba yake akiufunga mlango wa chumba chake. Ni baba anayetekeleza mpango wa siri asiofaa kuujua Fadhili.
Fadhili anaamua kukitegua kitendawili cha tukio hilo kwa kujiingiza katika hatari zisizo kifani. Hii ni mojawapo ya hadithi ambayo imefumwa ikafumika mfumo ambao utamshangaza yeyote atakayeisoma.ISBN: 9789966075604
-
Vituko vya Panya: Panya mjanja mtegoni by Yahya Mutuku
KSh211.00Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartPanya Mjanja Mtegoni ni kitabu cha tatu katika msururu wa Vituko vya Panya. Panya Mjanja, kwa mara nyingine, anadhihirisha kwamba ujanja wake ungalipo. Amefungiwa mtegoni kwa tamaa yake. Je, atafaulu kujinasua?”
ISBN: 9789966788689
-
Maajabu ya Sudi by Mbagga
KSh244.00Original price was: KSh244.00.KSh220.00Current price is: KSh220.00.Add to cartSudi ni mvulana aliye na sifa za kiajabuajabu tangu anapozaliwa. Anazaliwa usiku wa manane, anatabasamu na ana sura jamali. Anapoanza kukua, anawashangaza wazazi na ndugu zake kwa jinsi anavyoelewa na kufanya mambo kwa haraka tofauti na watoto wengine. Vitendo vya Sudi pia vinawashangaza wanakijiji. Mambo mengi anayoyafanya Sudi yanawafanya watu kuamini kuwa yeye si mvulana wa kawaida. JE, Ni mambo yapi anayoyafanya Sudi na yanayowashangaza wengi?
ISBN : 9789966342690
Reviews
There are no reviews yet.