Showing 801–820 of 2090 results
-
-
Kipendacho Roho
0 out of 5KSh500Original price was: KSh500.KSh410Current price is: KSh410.Bado tulisubiri ‘wakaishi raha mustarehe’. Siku hiyo nyanya hakumaliza hivyo… Kadzo anajikuta katika mtego wa hadaa. Alipenda kwa roho, kumbe kipendacho roho.
-
Kipengo 2b by Oxford
0 out of 5KSh278Original price was: KSh278.KSh250Current price is: KSh250.ISBN: 9780195730593
-
Kipepeo Apeperuka
0 out of 5KSh220Original price was: KSh220.KSh190Current price is: KSh190.Dunia haishi maajabu. Kuna mengi ya kuajabia. Katika ulimwengu wa wadudu, kuna baadhi yao wanaopitia hatua kadhaa za maisha yao kuanzia yal. Mageuzi hayo katika maumbile yao na maisha yao yana maana na umuhimu kwetu pia. Hebu tujifunze sote maumbile ya kipepeo. Hassan Said ana tajriba pana katika uchapishaji vitabu hasa kamusi na hadithi za…
-
Kipepeo malidadi lvl 8 (Queenex)
0 out of 5KSh480Original price was: KSh480.KSh390Current price is: KSh390.Una namba zao za simu?” daktari akazidi kuniuliza kuhusu wazazi wangu. Niliogopa sana kurudi nyumbani. Nilitoka kiharamu, basi ningerudije bila ya kuingia matatani? Nikamjibu: “Sina, Hawana simu. Sikusema uwongo. Nilitasua hali halisi… Shullam Nzioka ni mwandishi anayefahamika kwa umilisi wake wa lugha ya Kiswahili. Wengi wamesifu maandishi yake wakimpa mkono wa tahania kwa kazi zake…
-
Kisa cha Peremende 2a by Maillu
0 out of 5KSh225Original price was: KSh225.KSh203Current price is: KSh203.Muli na Ndungi ni marafiki wakubwa. Walimsaidia mvulana kwa jina Mumo kwenda nyumbani alipoteguka mguu wakicheza. Muli na Ndungi walipewa kila mmoja pakiti ya peremende na babake Mumo. Peremende za Muli zinaendelea kuongezeka. Peremende za Ndungi nazo zinaendelea kupunguka na mwishowe kumalizika. Je, ni kwa nini peremende za Muli zinaongezeka na za Ndungi kupungua?
ISBN: 9789966341846
-
Kisasi Hapana
0 out of 5KSh460Original price was: KSh460.KSh360Current price is: KSh360.Kisasi Hapana!’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi kwa njia ya barua ya kirafiki, utambaji hadithi, hadithi ndani ya hadithi na usimulizi kwa nafsi ya kwanza umoja. Kuingiza ucheshi katika…
-
KISWAHILI FASAHA GRADE 9
0 out of 5KSh999Original price was: KSh999.KSh980Current price is: KSh980.Key Features
-
CBC-aligned for Junior Secondary Grade 9.
-
Comprehensive coverage of language skills and Kiswahili literature.
-
Includes literary texts, comprehension tasks, grammar exercises, and creative writing.
-
Encourages critical thinking, creativity, and cultural appreciation.
-
Features self-assessment tasks and revision exercises for exam readiness.
-
-
Kiswahili Fasaha Gredi Ya 7
0 out of 5KSh850Original price was: KSh850.KSh795Current price is: KSh795.Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala. Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 7 kina: Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za…
-
Kiswahili Fasaha Kiatabu Cha Mwanafunzi Gredi Ya 9
0 out of 5KSh1,005Original price was: KSh1,005.KSh980Current price is: KSh980. -
Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwalimu Gredi 8
0 out of 5KSh855Original price was: KSh855.KSh755Current price is: KSh755.Kiswahili Fasaha’ ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala. Mwongozo huu wa mwalimu una: Utangulizi kuhusu Mtaala wa Kiumilisi, Muhtasari wa umilisi, maadili na masuala mtambuko yaliyoratibiwa…
-
Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 8
0 out of 5KSh1,005Original price was: KSh1,005.KSh905Current price is: KSh905.Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala. Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kina: Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za…
-
KISWAHILI SAHILI GRADE 9
0 out of 5KSh880Original price was: KSh880.KSh865Current price is: KSh865.Key Features
-
CBC-aligned for Junior Secondary Grade 9.
-
Comprehensive coverage of Kiswahili language strands.
-
Includes comprehension passages, grammar drills, and creative writing exercises.
-
Promotes critical thinking, creativity, and effective communication.
-
Features reflection tasks, self-assessment, and revision exercises.
-
-
Kiswahili Sahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8
0 out of 5KSh905Original price was: KSh905.KSh805Current price is: KSh805. -
Kiti Cha Moyoni Na Hadithi Nyingine
0 out of 5KSh750Original price was: KSh750.KSh685Current price is: KSh685.Huu ni mkusanyiko wa hadithi fupi ishirini ambazo zina utamu kutokana na mtindo wa fantasia na mkengeuko wa ukweli kama tunavyoujua wa kila siku.
End of content
End of content























