Showing 2081–2095 of 2095 results
-
-
Yobo na Ndoto ya Ajabu 3a by Odoi
0 out of 5KSh211Original price was: KSh211.KSh190Current price is: KSh190.ISBN: 9789966255737
-
Zawadi : A gift From God
0 out of 5KSh350Original price was: KSh350.KSh265Current price is: KSh265. -
Zawadi Ya Thamani
0 out of 5Kadiri anaingiwa na wasiwasi kutokana na mabadiliko katika tabia ya rafiki yake. Anashangaa anapomwona rafiki yake akitoweka kama moshi baada ya masomo ya kila siku kuisha. Kitendo cha rafiki yake kinamtia ari ya kutaka kufahamu ni kitu gani kinachomtoa mwenzake mbio. Juhudi zake za kutaka kujua anakoenda rafiki yake wakati wa mazoezi ya karate yanaambulia…
-
Zeruzeru Shujaa wa Kijiji na Hadithi Nyingine lvl 6 (Queenex)
0 out of 5KSh450Original price was: KSh450.KSh350Current price is: KSh350.Zeruzeru Shujaa wa Kijiji ni hadithi inayoonesha ushujaa na ujasiri wa aina yake. Hadithi hii inaonesha jinsi mvulana zeruzeru anavyoisaidia jamii yake kutatua tatizo la miaka na mikaka. Ni hadithi inayodhihirisha ukweli kuwa japo wanadamu tunaweza kuwa na tofauti za kimaumbile, tuna uwezo sawa.
-
Ziara ya Meno by Zawadi
0 out of 5KSh211Original price was: KSh211.KSh190Current price is: KSh190.Ziara ya Meno Siku ya Meno ni hadithi ya pili katika msururu wa “Mazingira na Afya’.
Kitabu hiki kinashughulikia usafi na afya ya meno. Lengo hili limetimizwa kupitia safari ya akina Baraka na Zawadi.
Njia za kutunza meno na athari za kutoyatunza zimewekwa wazi kupitia majadiliano baina ya wahusika.
Je, wahusika wananufaika mwisho wa kikao?ISBN: 9789966788849
-
Zuhura na Zahara lvl 6 (Queenex)
0 out of 5KSh400Original price was: KSh400.KSh320Current price is: KSh320.Zuhura na Zahara ni pacha wanaofanana kama shilingi kwa ya pili. Wamelelewa kwa heshima na taadhima na wazazi wao lakini tabia zao hazilingani hata kidogo. Mwana wa mfalme aitwaye Chaka ni mgonjwa na hali yake ni mahututi. Ni lazima binti mmoja katika milki ya Tunu aipate dawa hiyo adimu ili mwana wa mfalme apone. Je,…
End of content
End of content

















