KSh244Original price was: KSh244.KSh220Current price is: KSh220.
Sudi ni mvulana aliye na sifa za kiajabuajabu tangu anapozaliwa. Anazaliwa usiku wa manane, anatabasamu na ana sura jamali. Anapoanza kukua, anawashangaza wazazi na ndugu zake kwa jinsi anavyoelewa na kufanya mambo kwa haraka tofauti na watoto wengine. Vitendo vya Sudi pia vinawashangaza wanakijiji. Mambo mengi anayoyafanya Sudi yanawafanya watu kuamini kuwa yeye si mvulana wa kawaida. JE, Ni mambo yapi anayoyafanya Sudi na yanayowashangaza wengi?
KSh500Original price was: KSh500.KSh435Current price is: KSh435.
‘Mabandia’ ni tamthilia inayopiga kurunzi ubandia unaojificha na kujifichua kwa sura mbalimbali maishani. Maisha ni kama karata. Wahusika sita wanajitokeza katika maonyesho sita wakifululiza hadi barazani kucheza duru sita za mchezo maarufu wa Wahedi wa Sitini. Mchezo huu huchezwa hasa katika maeneo ya pwani ya Afrika Mashariki. Kupitia vitendawili vinavyoibuka katika maonyesho mbalimbali, mwandishi anagubika…
KSh438.34Original price was: KSh438.34.KSh435Current price is: KSh435.
Mabandia ni tamthilia inayopiga kurunzi ubandia unaojificha na kujifichua kwa sura_ mbalimbali maishani. Maisha ni kama karata. Wahusika sita wanajitokeza katika maonyesho sita wakifululiza hadi barazani kucheza duru sita za mchezo maarufu wa Wahedi wa Sitini. Mchezo huu huchezwa hasa katika maeneo ya pwani ya Afrika Mashariki. Kupitia vitendawili vinavyoibuka katika maonyesho mbalimbali, mwandishi anagubika…
KSh320Original price was: KSh320.KSh250Current price is: KSh250.
Hadithi Sisimka ni msururu wa hadithi za watoto zilizoandikwa kwa lugha nyepesi na msamiati uliodhibitiwa ili kuwafaa watoto.Hadithi hizi zinawavutia wasomaji wachanga na ni msingi thabiti kwao katika kujenga uraibu wa kusoma.
KSh272.23Original price was: KSh272.23.KSh245Current price is: KSh245.
Nilijinyanyua polepole kutoka sakafuni huku nikilia kwa kwikwi. Nilijipangusa kwa utaratibu.Kaptura yangu isingetakata kwani ilikuwa ya rangi iliyong’aa kama mbalamwezi.Nilipopita kwenda kuketi,nilimwona Safari akiniangalia kwenye makalio.Aliangua kicheko cha kuogofya kilicholitetemesha darasa zima.Wanafunzi nao wakaanza kucheka. Kaptura yangu ilijaa vumbi kwelikweli .Nilisonya tu na kujipweteka kitini huku nikikiangalia kitabu changu cha Hisabati ISBN: 2010143000770
KSh300Original price was: KSh300.KSh250Current price is: KSh250.
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. The storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting…
KSh211.12Original price was: KSh211.12.KSh190Current price is: KSh190.
Awali, mvulana Madalala hakujali usafi wa mwili. Shuleni,Wanafunzi wenzake walimbagua na kukataa kucheza naye . Siku moja alikuwa mgonjwa. Alipopelekwa hospitalini, daktari aligundua kwamba maradhi yake yalitokana na uchafu. Alimshauri kuhusu umuhimu wa usafi. Soma zaidi kufahamu jinsi kinga ni bora kuliko tiba. ISBN: 9789966788184 Author: Rebecca Nandwa
KSh355Original price was: KSh355.KSh320Current price is: KSh320.
Maza kingdom has very strict traditions, among them that a king can only be inherited by a son. When King Gustav dies, the son who would have inherited the kingdom, Frederick, is away studying in America. Only his sister Clavidia is home, but she cannot take the reins of power. This would mean that an evil cousin, Japheth, would be given the opportunity. Clavidia knows it will be disastrous for Maza with Japheth as king. What can she do? Read for yourself and find out!
KSh305.56Original price was: KSh305.56.KSh275Current price is: KSh275.
Maya and her brother Kirui visit their grandfather. They find him using a stick cut from a tree branch to support himself. Maya thinks that the stick is too weak but Kirui and grandfather believe that the stick is just okay. Maya is not satisfied. She thinks her grandfather deserves a brand-new crutch. How will she raise the money to buy one?
KSh333Original price was: KSh333.KSh300Current price is: KSh300.
Balozi always want to impress his friends. This puts him in trouble every time. He uses his creativity and imagination skills to get out of trouble and to prove himself to his peers. Read these three captivating short stories to find out how he tackles the different challenges he encounters.
KSh305Original price was: KSh305.KSh275Current price is: KSh275.
Imani likes exploring his environment. He wonders where the food they eat in the city comes from. He visits the village for the first time to find out for himself. Join Imani in his adventure!