KSh244Original price was: KSh244.KSh235Current price is: KSh235.
Juma na Maria wanabaki nyumbani baada ya wazazi wao kwenda sherehe. Wanaondoka kwenda kununua peremende. Barabarani walimwona mama mjamzito akisukumwa nje kutoka garini ndogo, Juma na Maria wanaamua kumsaidia. Baadaye,Juma na Maria wanashangaa wanapogundua kuwa mama huyo…..
KSh483Original price was: KSh483.KSh435Current price is: KSh435.
John Benjamin said gruffly, grabbing the lifeline that the man had offered him. “I have a business idea that might interest you.” The man’s curiosity was at once aroused.“You have three minutes,” he said authoritatively.John Benjamin is a man on a fast lane to self-destruction. His life takes an about-turn when he befriends and takes home a stray dog. The Man in Green Dungarees is a story of resilience, alcoholism and how society defines success. John Benjamin sees opportunities for success where others would have looked away.
KSh350Original price was: KSh350.KSh250Current price is: KSh250.
‘Maneno ya Mwanzo’ ni kitabu kinachonuiwa kujenga msingi thabiti wa kusoma. Kitabu hiki kimekusudiwa wanafunzi waliomaliza shule za chekechea na kuanza masomo yao katika shule za msingi. Kitabu hiki kinafaa kutumiwa na wanafunzi wa darasa la kwanza. Sifa kuu za kitabu hiki ni kama zifuatazo: Utambuzi wa herufi kuu za alfabeti ya Kiswahili. Utambuzi wa maneno,…
KSh277.78Original price was: KSh277.78.KSh250Current price is: KSh250.
Maneno ya Mwanzo ni kitabu kinachonuiwa kujenga msingi thabiti wa kusoma. Kitabu hiki kimekusudiwa wanafunzi waliomaliza shule za chekechea na kuanza masomo yao katika shule za msingi. Kitabu hiki kinafaa kutumiwa na wanafunzi wa darasa la kwanza. ISBN: 9781957331348
KSh300Original price was: KSh300.KSh250Current price is: KSh250.
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. The storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting…
KSh350Original price was: KSh350.KSh290Current price is: KSh290.
Hadithi hii inawahusu vijana wawili, Mangumi na Makonde, ambao ni ndugu wa toka nitoke. Wawili hawa waliishi kwa uhasama mkubwa. Makonde anaondoka nyumbani na kutorokea nchi jirani mahali ambapo anakutana na makuu zaidi kuliko ya nyumbani kwao. Hakika ugeni tabu. Basi aliruka majivu akakanyaga moto. Huko alihukumiwa kunyongwa kwa kushukiwa kuwa jasusi. Babake anaelekea huko…
KSh211Original price was: KSh211.KSh190Current price is: KSh190.
Stories in the Sunrise Reading Scheme 10. Goodbye Chichi – Irene Wanjiru 16.
Bobo the Rat – Frank Odol 1c. Little Bodo – Frank Odal 1 d. Mariamu Goes to School –
Waithaka Waihenya 1e Why Hyena has Spots – Douglas Kivoi 1t. A Ride to the Park –
Ezekiel Alembi 19. Mariamu Goes Shopping – Waithaka Woihenya 1h. Trip to the Village –
Mary Mwangangi 11. Rahab’s Birthday Party – Ezekiel Alembi
KSh400Original price was: KSh400.KSh330Current price is: KSh330.
‘Mashairi Bulbul’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Mashairi yaliyobeba maudhui anuwai, Ubunifu wa mtunzi kutupambia mashairi kwa methali, mafumbo, masimulizi, tashihisi, takriri, tashbihi na taswira ili kutufunza na kupitisha ujumbe wake, Mitindo,…
Mashairi Bulbul 7c ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: mashairi yaliyobeba maudhui anuwai. ubunifu wa mtunzi kutupambia mashairi kwa methali, mafumbo, masimulizi, tashihisi, takriri, tashbihi na taswira ili kutufunza na kupitisha ujumbe wake….
KSh327.78Original price was: KSh327.78.KSh295Current price is: KSh295.
Sina chembe ya uzuri, mbali na mimi kaeni … ni mojawapo ya sifa anazojipatia mnyama huyu ambaye ni mmoja wa wanyama wanaozungumza kwenye kitabu hiki. Je, wanyama hawa wanasema nini kuhusu sifa zao? Je, wanaamini kuwa wana umuhimu gani kwa binadamu? Je, wanyama hawa wana malalamishi yapi kuhusu jinsi binadamu wanavyowachukulia?Kitabu hiki chenye mashairi ya…
KSh500Original price was: KSh500.KSh395Current price is: KSh395.
Nini ambacho Kiburi hakubarikiwa nacho; mali, ulimbwende au umaarufu? Lakini, vyote hivi havikutosha kumpa raha aliyoisaka maishani. Kwa upande mwingine, Mashaka anakumbana na mashaka kwa sababu ya kiburi cha Kiburi. Sio kwamba Kiburi hakumpenda Mashaka. La, hasha! Alimpenda sana na alikuwa tayari kumwaga mali yake yote, mradi tu ampate. Basi, binadamu huhitaji nini ili kufurahia…
KSh350Original price was: KSh350.KSh315Current price is: KSh315.
Maskini Bibi Yangu! ni kitabu kinacholenga wanufunzi wa darasa la Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao kusoma.Miongoni mwa sifu za kipekee za kitabu hiki ni:masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya utambaji hadithi na usimulizi wa nafsi ya kwanza umoja.kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tanukali…
KSh350Original price was: KSh350.KSh315Current price is: KSh315.
Maskini Bibi Yangu! 6b ni kitabu kinacholenga wanufunzi wa darasa la Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao kusoma.Miongoni mwa sifu za kipekee za kitabu hiki ni:masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya utambaji hadithi na usimulizi wa nafsi ya kwanza umoja.kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tanukali za sauti, vichekesho, utani, takriri, taswira nu picha za rangi zenye kusisimua.kuwapitisha na kuwalea wunufunzi katika muzingira ya kuwaheshimu watu wazima wenye uhusiano nao au wasiowahusu, maisha ya nyumbani, mazoezi, michezo na mashindano, kilimo, afya na hudumu ya kwanza, teknolojia ya mawasiliano, uwajibikaji, utu. uvumilivu na mandhari ya mijini na vijijini.
‘Maskini Milionea na Hadithi Nyingine’ ni mkusanyiko wa hadithi fupi zinazoakisi hali katika maisha ya wanadamu; hisia zao, changamoto na ufanisi wao. Ubora wa hadithi katika mkusanyiko huu haumo tu katika uanuwai wa fani na maudhui, bali pia kwenye mseto wa ufundi wa wachangiaji ambao wana asili na mitazamo tofautitofauti. Hadithi hizi zilizoandikwa na waandishi…
KSh244Original price was: KSh244.KSh235Current price is: KSh235.
Popo ana njaa sana. Anataka chakula. Anatafuta chakula kila mahali.Anaenda karibu na ndege lakini wanamfukuza. Popo anaenda karibu na wanyama lakini pia wanamfukuza.Popo analia .Anaruka juu na hajui afanye nini. Je, ni kwa nini ndege na wanyama wanamfukuza Popo? Je, popo atapata chakula?