Sale!
Sale!
Targeter Combined Encyclopaedia Grade 6 by Targeter
Original price was: KSh1,444.00.KSh1,300.00Current price is: KSh1,300.00.
ISBN: 9789914997101
Category
KSh1,444.00 Original price was: KSh1,444.00.KSh1,300.00Current price is: KSh1,300.00.
ISBN: 9789914997101
-Kinaakisi Mtalaa wa Umilisi
-Mazoezi ya ujuzi wa kidijitali
-Mwongozo wa uandishi hatua kwa hatua
-Nafasi za kufanyia mazoezi katika kila sura
-Vielelezo 25 vya insha zinazogusia Mtalaa wa Umilisi
-Ujuzi wa kuandika unaokuza ujifunzaji endelevu maishani
-Mazoezi ya kujenga msamiati yanayojikita kwa mwanafunzi
-Vichocheo zaidi ya 100 vya mazoezi ya kuandika insha bora
-Fursa ya kuchapishwa insha yako na kampuni ya Storymoja
ISBN: 9789966623911
Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 6 ni kitabu kilichotungwa na kusukwa kwa makini na kwa kina kirefu. Kitabu hiki kimetosheleza mahitaji yote ya mtaala waumilisi. Kinakuza umilisi uliopendekezwa kwenye mtaala, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia kwa stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma,Kuandika na Sarufi.
Intensive Encyclopaedia Grade Six is a book developed in line with the New Competency Based Curriculum. It aims at equipping learners with hands-on skills as opposed to the knowledge based curriculum. The book is a one-stop source of learning activities for all the subjects taught in Grade Six.
ISBN: 9789914998092
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 6 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa na kufikia matokeo maalumu yanayotarajiwa.
ISBN: 9789966012364
Kiswahili sahili grade ya 6, ni kitabu kilichoandikwa kulingana na mtaala ya kiulimisi kitabu hiki kinashughuli kwa mwanafunzi pamoja na pichaza kutosha kumuwezesha kupata umilisi utakiwao.
Reviews
There are no reviews yet.