-
KSh300 Original price was: KSh300.KSh235Current price is: KSh235.
Maria ni mwanafunzi mwenye bidii masomoni. Akiwa pamoja na rafiki yake Musa, wanawasaidia wanafunzi wenzao kusoma darasani. Mwalimu wao pamoja na wanafunzi wanawashangilia. Je, Maria na Musa
-
KSh350 Original price was: KSh350.KSh260Current price is: KSh260.
Sudi na Shada ni wanafunzi wa gredi ya kwanza. Wanavumbua mbinu nzuri kabisa ya.kusoma kuhusu familia. Wanafunzi wenzao wanavutiwa sana na mbinu hii. Je, hii ni mbinu gani? Hadithi Mufti za Longhorn ni
-
KSh300 Original price was: KSh300.KSh235Current price is: KSh235.
Wakati wa somo kuhusu vyombo vya usafiri, Maria anaonesha kipawa cha kipekee. Anawashangaza wanafunzi wenzake anapowaonesha kinyago cha gari alichokitengeneza mwenyewe. Je, Maria aliwezaje kukitengeneza
-
KSh750 Original price was: KSh750.KSh675Current price is: KSh675.
New Progressive Primary English Activities is a specially crafted series designed to provide practical experiences that enhance language skills within the Competency Based Curriculum. Each book in the series offers a diverse range of engaging activities for learners. These activities enhance the core competences and values, and address the Pertinent Contemporary Issues (PCIs). The Learner’s…
-
KSh800 Original price was: KSh800.KSh700Current price is: KSh700.
New Progressive Primary English is a series specially written to provide practical experiences that support acquisition of language skills for the new Competency Based Curriculum. Books in the series provide a range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at acquisition of the core competencies, values, and information about…
-
KSh300 Original price was: KSh300.KSh235Current price is: KSh235.
Shada, Sudi na marafiki zao wanapenda kucheza pamoja kila Jumamosi. Jumamosi hii, mama anawaita Shada na wenzake kula chakula cha mchana. Baada ya kula na kurudi kucheza, Shada anashikilia tumbo lake
-
KSh320 Original price was: KSh320.KSh260Current price is: KSh260.
Baada ya kufanya vizuri katika mtihani, Sudi na Shada wanapelekwa na wazazi wao kwenye mbuga ya wanyama. Wanapofika mbugani, Sudi anatoweka pasi na yeyote kumwona. Wazazi wake na dada yake
-
KSh320 Original price was: KSh320.KSh260Current price is: KSh260.
Shada na Sudi pamoja na wenzao wamo darasani wanasoma kuhusu aina za rangi. Shada anawauliza wenzake swali kutaka kujua kama wanayaelewa mazingira ya darasani mwao. Je, swali hili linahusu nini?
-
KSh300 Original price was: KSh300.KSh235Current price is: KSh235.
Masomo ya ljumaa yanapokamilika katika shule ya msingi ya Mwangaza, mwalimu anawapa Sudi, Shada na wanafunzi wenzao wa gredi ya tatu kazi ya ziada. Mwalimu anawaagiza kuwa wakati wa wikendi waende
-
KSh350 Original price was: KSh350.KSh260Current price is: KSh260.
Sudi na Shada Wamwokoa Luka Luka anakosa masomo ya gredi ya pili. Sudi na Shada wanaonesha ujasiri kwa kuhakikisha kuwa wamempata Luke na kumsoidia kurudi shuleni. Je, Luka alikuwa wapi? Ni mambo yepi yalikuwa
-
KSh300 Original price was: KSh300.KSh235Current price is: KSh235.
Sudi na Shada ni wanafunzi ambao wanasoma katika gredi ya tatu. Wanasoma kwa bidii ili kufanya kazi mbalimbali. Je, Sudi na Shada wanataka kufanya kazi zipi maishani? Fikra zao kuhusu kazi hizi ni zipi?
-
KSh350 Original price was: KSh350.KSh260Current price is: KSh260.
Sudi na Shada wanaelewa umuhimu wa lishe bora. Wakiwa shuleni, wanahakikisha kuwa wamepata lishe bora. Vyakula wanavyopikiwa ni vya lishe bora. Je, wanapikiwa vyakula vipi? Vyakula hivi vina umuhimu upi
-
KSh300 Original price was: KSh300.KSh235Current price is: KSh235.
Sudi na Shada wanakuwa vielelezo vya wazalendo. Kwa wanafunzi wenzao, wanaonesha maana na manufaa ya uzalendo. Je, Sudi na Shada wanafanya nini kiasi cha kuwa mfano wa kuigwa? Hadithi Mufti za
-
KSh300 Original price was: KSh300.KSh235Current price is: KSh235.
Sudi na Shada ni wanafunzi wa gredi ya tatu. Wakati wa sherehe shuleni kwao, wazazi wote wanavutiwa na mienendo yao. Mgeni wa heshima anawatambua na kuwatuza. Je, Sudi na Shada wamefanya nini kiasi cha
-
KSh1,270 Original price was: KSh1,270.KSh1,200Current price is: KSh1,200.

End of content
End of content