PREMIER KISWAHILI WORKBOOK GRADE 2
KSh450.00 Original price was: KSh450.00.KSh390.00Current price is: KSh390.00.
Related products
-
KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili Grade 2 by KLB
KSh415.00Original price was: KSh415.00.KSh370.00Current price is: KSh370.00.Add to cartKLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 2 (Kitabu cha Mwanalunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi.
Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya linsia. utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu.
ISBN: 9789966652140
-
Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 2
KSh593.00Original price was: KSh593.00.KSh534.00Current price is: KSh534.00.Add to cartKiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunzo. Pia vinakura umili uliopendekezwa, maadili kufahamisha kuhusu masualaibuka.
Katika Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha, kitabu cha Mwanafunzi. Gredi 2. utapata :
-mada zilizopangwa Kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya
-mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
-mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
-Jinsi ya kuwashirikisho wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikajiKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji
ISBN: 9780195746839
-
Akili pevu Kiswahili Angaza Kitabu cha Mwanafunzi Grade 2 by Shabaan Otieno, Mziwanda Banda
KSh631.00Original price was: KSh631.00.KSh570.00Current price is: KSh570.00.Add to cartKiswahili Angaza ni kazi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu:
1. Kusoma ni kutagusano; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi;
2. Wanafunzi wancionza kilo somo kwa kuelezea picha au hall amo matukio wanayoyafomu huku wakijadiliana;
3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambuo, kubainisha, kujenga na kuhakiki;
4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno no isiyokuwa no maneno mogumumagumu no misomiati ya kubaboisha;
5. Mwanafunzi no mwanafunzi mwenzoke, pamoja na mwolimu, mzazi na hata jornii nzimo wanashirikishwa ndani ya kitobu hiki.ISBN: 9789966562845
-
New Progressive Primary English Activities Grade 2
KSh593.00Original price was: KSh593.00.KSh534.00Current price is: KSh534.00. -
Everyday Hygiene and Nutrition Activities grade 2
KSh433.00Original price was: KSh433.00.KSh390.00Current price is: KSh390.00.Add to cartEveryday Hygiene and Nutrition Activities is a new series for the new competency based curriculum, specially written to provide practical experiences that equip learners with the basic knowledge, skills and attitudes that promote a happy and healthy lifestyle. Books in the series provide a range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at acquisition of the core competences, values and pertinent and contemporary issues (PCIs).
ISBN: 978 019 574665 5








Reviews
There are no reviews yet.