Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 2

Original price was: KSh593.00.Current price is: KSh534.00.

Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunzo. Pia vinakura umili uliopendekezwa, maadili kufahamisha kuhusu masualaibuka.

Katika Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha, kitabu cha Mwanafunzi. Gredi 2. utapata :

-mada zilizopangwa Kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya
-mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
-mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
-Jinsi ya kuwashirikisho wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji

ISBN: 9780195746839

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 2”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Now Button