KLB Visionary Social Studies Learner’s Grade 5
KSh444.00 Original price was: KSh444.00.KSh400.00Current price is: KSh400.00.
Related products
-
Queenex English Activities Grade 5 (Approved) by AGOLA
KSh606.00Original price was: KSh606.00.KSh545.00Current price is: KSh545.00. -
Longhorn Mwanga wa Kiswahili Mwanafunzi Grade 5 (Approved) by K. Ngere, M. Kikwanuu, H. Kangai and Walla bin Walla
KSh677.00Original price was: KSh677.00.KSh610.00Current price is: KSh610.00.Add to cartLonghorn Mwanga wa Kiswahili Gredi ya 5 (Kitabu cha Mwanafunzi) ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi na umahiri mkubwa. Kimeandikwa kwa lugha nyepesi ya kiwango cha mwanafunzi wa gredi ya nne. Kitabu hiki kinatosheleza kikamilifu mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi pamoja na malengo ya elimu ya taifa la Kenya. Kimeshughulikia wanafunzi wote wakiwemo walio na mahitaji maalum pamoja na wanaoishi kwenye mazingira mbalimbali. Kitabu hiki kitamwangazia na kumwezesha mwanafunzi:
• kuwa na uwezo wa kuwasiliana na wenzake,
• kujiamini na kujithamini,
• kuwaza kwa kina na kupata suluhu ya matatizo,
• kuwa raia mwadilifu na mzalendo,
• kutumia vifaa mbalimbali vya kidijitali.
Upekee wa kitabu hiki ni kuwashirikisha wanafunzi kwa kiwango kikubwa katika ujifunzaji. Mlezi pia ameshirikishwa hasa katika mazoezi ya ziada. Mwishoni mwa kila mada kuu kuna zoezi la kuzichangamsha akili za wanafunzi ili kukumbuka waliyosoma.
Kitabu hiki kina mwongozo wa mwalimu ambao utamwelekeza mwalimu katika kutekeleza wajibu wake. Bila shaka, mwanga wa kitabu hiki utaangaza na kukikuza Kiswahili angavu miongoni mwa wanafunzi. Waandishi wa kitabu hiki ni walimu na watahini wenye ujuzi wa kutosha katika ufundishaji wa Kiswahili kwa miaka mingi.ISBN: 9789966643155
-
JKF Foundation Music Learner’s Grade 5 (Approved) by F. Muyela, A.Ndungu and J. Osir
KSh388.00Original price was: KSh388.00.KSh350.00Current price is: KSh350.00.Add to cartThis is the fifth for the competency-based curriculum. The coursebook is intended for use by Grade 5 learners.
The keys features of the book include:
– Adequate coverage of the of the new curriculum concepts and skills, with a strong activity orientation
– Deliberate use of local songs that learners can easily identify with
– Clear easy-to-follow learning steps
– Attractive illustrations that will enhance the understanding and appreciation of the text
– A number of activities that reinforce the learning process.
The book comes with a separate comprehensive teacher’s guide.ISBN: 9789966511881
-
Moran CBC Breakthrough Agriculture Workbook Grade 5 by Moran
KSh622.00Original price was: KSh622.00.KSh560.00Current price is: KSh560.00.Add to cartCBC Breakthrough Workbook Grade 5 Agriculture is a one-stop source of extended learning activities based on the Competency Based Curriculum. The workbook is a curriculum companion aimed at supporting the learner to develop skills and concepts in Agriculture. The specific learning outcomes integrate the required competencies, PCls and values in the learner’s activities. The workbook is packed with benefits to the learner, teacher and parent or guardian.
ISBN: 9789966633316
-
OUP Kiswahili Dadisi Grade 5 Kitabu cha mwanafunzi (Approved) by J. Ndege, P. Kea, E. Osoro, Z. Mucheria
KSh566.00Original price was: KSh566.00.KSh510.00Current price is: KSh510.00.Add to cartKiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 5, utapata:
• mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya.
• mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
• mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za
kijamii zinazokuza ujifunzaji.
• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
• vifungu vya kumburudisha na kumfikirisha mwanafunzi katika sehemu ya ‘Burudika’.
Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu wa umilisi.ISBN: 9780195749052








Reviews
There are no reviews yet.