Sale!
Sale!
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi – Set Book
Original price was: KSh544.00.KSh490.00Current price is: KSh490.00.
ISBN: 9789914987195
Category
KSh544.00 Original price was: KSh544.00.KSh490.00Current price is: KSh490.00.
ISBN: 9789914987195
Shani anakumbwa na furaha ya kupindukia rafiki yake, Jaki, anapomchagua kuandamana naye hadi Afrika Kusini.
Mjomba wa Jaki anajitolea kugharamia ziara hiyo. Hata hivyo, mamake Shani anashuku nia ya Mjomba kumpeleka mwanawe
Afrika Kusini. Mama anajaribu kumshawishi Shani kupuuza pendekezo hilo kwa kumwekea vikwazo. Shani aliye na hamu kuu
kwenda ughaibuni anakwea vikwazo vyote hadi mzazi wake anamkubalia kwenda Afrika Kusini. Mbona Mama Shani anashuku
ukarimu wa Mjomba? Soma hadithi ufumbue fumbo.
ISBN: 9789966066800
Bembea ya Maisha ni hadithi kuhusu Yona na mkewe Sara pamoja na Bunju na mkewe Neema. Wahusika hawa wanajikuta katika vuta n’kuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni, uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika binafsi. Baina yao kuna mitikiso inayotishia familia, ndoa na mahusiano ya kijamii. Kuna shutma, shaka, tuhuma na mivutano. Lakini pia kuna hongera, imani, ushirikiano, upendo, kutanabahi na mshikamano. Katika huu mseto wa mambo ipo sauti imara ya Sara inayosikika ikihimiza na kuzindua. Sauti inayoiona kila hali mfano wa bembea.
ISBN: 9789966194534
“Kwani wewe hujawahi kuota ndoto ya .Amerika?” “Bado,” nikamwambia Madoa. Alishangaa. Akaniambia ikiwa sijaota ndoto ya Amerika basi lazima nina kasoro fulani… Ndoto ya Amerika ni kitabu usichoweza kukiweka chini hadi umeisoma hadithi nzima. Bila shaka kitawasisimua wasomaji wenye umri mdogo na mkubwa pia kwa jinsi kilivyotungwa kwa ufundi mkubwa.
For assistance, call us at +254 793 488207. Stay updated with our latest products and services by liking, following, and sharing our posts on Facebook, Instagram, Twitter, and TikTok.
Reviews
There are no reviews yet.