KSh650Original price was: KSh650.KSh500Current price is: KSh500.
In a world where tradition often stifles dreams, Neelai, a young girl from a small village, dares to defy the odds. Faced with the looming threat of early marriage and harmful customs. she embarks on a journey of resilience ad empowerment. With the guidance of her mentor, Aunty Wanja, Neelai transforms her struggles into a…
KSh400Original price was: KSh400.KSh320Current price is: KSh320.
Simba Mwanadamu ni_hadithi ya kumsisimua, kumchekesha na kumburudisha msomaji. Ni hadithi inayodhihirisha ukweli wa methali kuwa njia ya mwongo ni fupi. Aidha, hadithi hii inatoa funzo kwa msomaji kuwa hila zina mwisho wake ambao si mzuri. Hadithi hii ni mojawapo ya hadithi katika mkusanyiko wa hadithi zenye uwezo wa kumgandisha msomaji kwenye kiti akisoma tena…
KSh550Original price was: KSh550.KSh500Current price is: KSh500.
Simulizi na Hadithi Nyingine Katika mkusanyo huu wa hadithi, utakumbana na matukio usioyatarajia. Katika hadithi ya Simulizi za Utotoni na Usipoziba Ufa… ujirani mwema unatuachia athari katika maisha yetu, wakati huo huo katika Mawimbi ya Mabadiliko changamoto ya kufanya kazi katika mazingira yenye siutafahamu inaangaziwa, ilhalia katika Mtazamo Mpana unahimizwa katikati ya migogoro, na bila…
KSh300Original price was: KSh300.KSh250Current price is: KSh250.
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. The storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting…
KSh422Original price was: KSh422.KSh380Current price is: KSh380.
 Malit ameshindwa kuamka ili aende shuleni.
Dada yake mdogo, Nashipae, anashangazwa na kulala huku kwake kwa muda mrefu. Je, ni tabia
mpya ya Malit ama anaugua? Kwa kawaida, Malit ndiye humwamsha Nashipae kila siku.
Nashipae anawaarifu wazazi kisha wanatambua kuwa Malit anaugua. Anapelekwa hospitalini mbiombio.
Bi Pulei anapomfikisha mwanawe Malit hospitalini, anagundua kuwa ufisadi umekita mizizi huko.
Mama yuko katika njia panda. Atoe hongo ili mwanawe ahudumiwe ama asitoe ili adumishe uzalendo? Â
KSh355Original price was: KSh355.KSh320Current price is: KSh320.
Ni wakati wa usiku, usiku wa mashetani wakati kijana Fadhili anapozinduka na kumfumania baba yake akiufunga mlango wa chumba chake. Ni baba anayetekeleza mpango wa siri asiofaa kuujua Fadhili.
Fadhili anaamua kukitegua kitendawili cha tukio hilo kwa kujiingiza katika hatari zisizo kifani. Hii ni mojawapo ya hadithi ambayo imefumwa ikafumika mfumo ambao utamshangaza yeyote atakayeisoma.
KSh450Original price was: KSh450.KSh350Current price is: KSh350.
Fadhili amefanikiwa kuungana na mtu anayeamini ni baba yake mzazi. Ni mtu mwenye heshima na hadhi katika jamii, mtu anayesifiwa sifa zisizo za kawaida. Fadhili anatilia shaka sifa hizi na pindi wanaposafiri hadi pwani ndipo kiu ya kujua ukweli inapomzidia. Je, ni siri gani aigunduayo Fadhili kumhusu baba yake? Fungua ukurasa wa kwanza uanze kusoma.
KSh322.22Original price was: KSh322.22.KSh290Current price is: KSh290.
On his first day at the ‘Feathers and Fur High school’, Enofe sings in class, but the other animals laugh at him . Enofe is sad. Will he go back to school? Will he learn to sing well? READ THE STORY TO FIND OUT.
KSh1,390Original price was: KSh1,390.KSh1,300Current price is: KSh1,300.
Smart Beginners Encyclopedia Playgroup is written in conformity with the pre-school Competency Based Curriculum (CBC) and covers all the key concepts and skills recommended for a playgroup learner. What this book offers you: • Developmentally appropriate learning experiences based on research in early learning • Fun and interactive learner-centered activities that promote independent learning •…