Simulizi za Kibobu 2c by Moran
Original price was: KSh328.00.KSh295.00Current price is: KSh295.00.
Ubiru aliinama. Kibobu akampanda mgongoni. Akamkanyaga na kusimama juu ya mabega yake. Lakini hapohapo walisikia sauti nzito ya Mzee Makapu, “Nani anataka kuniibia maembe yangu?” Ubiru aliruka pale. Akamtupa mwenzake aliyekuwa kakanyaga mabega yake. Sekunde chache, Ubiru alikuwa ametoweka. Amepotea. Akamwacha Kibobu pale chini. Alipoona mwenzake ameshakimbia na Mzee Makapu anamjia, Kibobu alitaka kuinuka akimbie. Mara alihisi mguu wake unampa maumivu makali. Alijaribu kuinuka akimbie, lakini…
ISBN: 9789966347720
Reviews
There are no reviews yet.