Showing 1481–1500 of 2093 results

  • Product on sale
    Ruka Panzi Ruka

    Ruka Panzi Ruka

    0 out of 5
    Original price was: KSh444.Current price is: KSh400.

    Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kinachofundisha watoto daima kuwa na imani ya kibinafsi ili kuwa na nguvu ya mtazamo mzuri

    Hii ni hadithi inayowahusu panzi wawili walio katika shida moja lakini mmoja anajiamini kuliko mwingine. Je, panzi wa rangi ya kijani kibichi anajitoa vipi katika shida hiyo?

    Author:
    Muthoni Muchemi
    ISBN:9789966620668
  • Product on sale
    Run Helena

    Run Helena

    0 out of 5
    Original price was: KSh350.Current price is: KSh250.

    The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. The storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting…

  • Product on sale
    Run Helena! 1q by Kariuki/Muitungu/Muutu

    Run Helena! 1q by Kariuki/Muitungu/Muutu

    0 out of 5
    Original price was: KSh278.Current price is: KSh250.

    ISBN: 9780195736366

  • Product on sale
    Placeholder

    Safari Ya Bamba

    0 out of 5
    Original price was: KSh550.Current price is: KSh490.
  • Product on sale
    Safari ya Chadi

    Safari ya Chadi

    0 out of 5
    Original price was: KSh466.Current price is: KSh420.

    Je, Umewahi kumzuru jamaa yako yeyote lakini ukapanda gari la umma silo? Mwandishi wa hadithi ya Ziara ya kutisha anasimulia jinsi alivyotatizwa na kuchanganyikiwa wapi alipokwenda. Je, atamwamini nani amwelekeze njia? soma hadithi hii, na nyingine za kusisimua, ugundue masaibu ya mwandishi na namna alivyoweza kuyakabili.

    ISBN:9789966624024 

  • Product on sale
    Safari Ya Lamu

    Safari Ya Lamu

    0 out of 5
    Original price was: KSh775.Current price is: KSh665.

    Safari inayoanza Nairobi inampa Musa nafasi ya kutafakari, kujionea fahari, kuiona bahari na zaidi, kujiathiri. Anapofika Lamu, Musa anapatana na Maimuna; msichana mrembo mwenye hulka na falsafa ambaye kwa usuhuba wake anamwonjesha Musa tamu na chungu. Anampitisha Musa barabarani na vichochoroni kisiwani Lamu. Hatimaye, Musa anafahamikiwa kuwa, “…Lamu ilicheka usiku. Lamu iliterema usiku. Lamu ilitembea…

  • Product on sale
    Safari ya Mabwe by Queenex

    Safari ya Mabwe by Queenex

    0 out of 5
    Original price was: KSh355.Current price is: KSh320.

    Tausi na nduguye Majuto ambao ni machokoraa wanagundua chombo cha ajabu kwenye biwi la taka. Wanapoingia ndani hawatoki tena. Wanatekwa nyara na viumbe wa ajabu na safari ya Mabwe inaanza, safari ya kuelekea sayari ya Mirihi. le vijana hawa watafanikiwa kurejea duniani? Safari ya Mabwe ni hadithi ambayo imesukwa kwa utaalamu usio kifani. Hebu fungua ukurasa wa kwanza uanze kusoma.

    ISBN: 9789966075543

  • Product on sale
    Safari Ya Maskauti

    Safari Ya Maskauti

    0 out of 5
    Original price was: KSh390.Current price is: KSh295.
  • Product on sale
    Safari ya Maskauti 5d by Enock Matundura

    Safari ya Maskauti 5d by Enock Matundura

    0 out of 5
    Original price was: KSh327.Current price is: KSh295.

    Kaendi na nduguye, Mkangi. wanazidivva na msisimko wa safari yao ya kwenda mjini Mombasa, kiasi cha kushindwa na kula chakula. Ziara hii ni ya maskauti wa Shule ya Msingi ya Bidii. Safari yao ya treni inajaa visa na vituko vya kufurahisha. Mkangi na rafikiye, Suleiman, vvanapewa jukumu la kuilinda kambi huku wenzao wakiwa wamelala. Mnyama anayeonekana kama simba anatokea na kumshitua Suleiman … ni yapi yatajiri baada ya haya?Safari ya Maskauti ni mojawapo ya hadithi katika Mradi wa Kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

    ISBN: 9780195738278

  • Product on sale
    Safari Ya Ndotoni

    Safari Ya Ndotoni

    0 out of 5
    Original price was: KSh400.Current price is: KSh335.

    Safari ya Ndotoni ni kitabu mwafaka cha kishairi ambacho kitawasisimua watoto kando na kuwajengea msingi imara wa utunzi wa mashairi. Mwandishi ametumia lugha ya mvuto ili kueleza ‘Safari’ ya msichana fulani. Je, alisafiri vipi? Alifika alikotamani? Maisha ni safari ya ndotoni kama ilivyo katika hadithi hii. Hiki ni kitabu cha kupendeza kwa watoto na kitawasaidia…

  • Product on sale
    Safari Ya Peponi.

    Safari Ya Peponi.

    0 out of 5
    Original price was: KSh400.Current price is: KSh350.
  • Product on sale
    Safari ya Serengeti 5f by Hezekiel Gikambi

    Safari ya Serengeti 5f by Hezekiel Gikambi

    0 out of 5
    Original price was: KSh238.Current price is: KSh215.
    Safari ya Serengeti 5f

    ISBN: 2010143000654

  • Product on sale
    Safari ya Tonge lvl 8 (Queenex) (Queenex)

    Safari ya Tonge lvl 8 (Queenex) (Queenex)

    0 out of 5
    Original price was: KSh350.Current price is: KSh320.

    ‘Maji yaliwasomba Makumba na babuye pamoja na kinyesi na kuwarusha ndani ya shimo kubwa Makumba na babu yake walianguka pul ndani ya shimo lilitosheheni kinyesi. Walipoanguka, kinyesi zaidi kiliwaangukia na kuwafunika. Je watatengana na dunia? Msururu wa Makumba ni novela bunilizi za kisayansi za kusisimua ambazo zinatol sayari mwili wa binadamu, ndani ya mimea na…

  • Product on sale
    SAFQA PHOTOCOPYING REAM PAPER

    SAFQA PHOTOCOPYING REAM PAPER

    0 out of 5
    Original price was: KSh800.Current price is: KSh750.
  • Product on sale
    SAinema Ya Karate

    SAinema Ya Karate

    0 out of 5
    Original price was: KSh450.Current price is: KSh385.

    Kadiri anaingiwa na wasiwasi kutokana na mabadiliko katika tabia ya rafiki yake. Anashangaa anapomwona rafiki yake akitoweka kama moshi baada ya masomo ya kila siku kuisha. Kitendo cha rafiki yake kinamtia ari ya kutaka kufahamu ni kitu gani kinachomtoa mwenzake mbio. Juhudi zake za kutaka kujua anakoenda rafiki yake wakati wa mazoezi ya karate yanaambulia…

  • Product on sale
    Samad in the forest/ Samad msituni

    Samad in the forest/ Samad msituni

    0 out of 5
    Original price was: KSh278.Current price is: KSh250.

    Samad loved animals. His dream was to spend a whole day in the forest and sleep in the treehouse.
    Follow Samad as he embarked on this adventure where he made wonderful friends and amazing discoveries.
    Going into the forest has never been so much fun.
    Samad aliwapenda wanyama. Alikuwa na ndoto ya kukaa șiku nzima msituni na kulala katika nyumba iliyo juu ya mti.
    Mfuate Samad alipoanza safari yake ya matukio alipokutana na marafiki wazuri na kugundua mambo ya ajabu.
    Aliona raha kubwa alipokwenda msituni.

    ISBN: 9789966140135

  • Product on sale
    Samaki Watatu Na Wavuvi

    Samaki Watatu Na Wavuvi

    0 out of 5
    Original price was: KSh350.Current price is: KSh215.

    Walikuwa samaki watatu wenye sifa tofauti tofauti. Wavuvi wawili walitaka kuwavua. Kunaswa au kutonaswa kwao kutategemea akili za kila mmoja wao.  Samaki Watatu na Wavuvi (Pepea na Kipepeo 28) ni kitabu kinachonuiwa kumpa mwanafunzi fursa ya kufanya mazoezi ya kusoma kwa ziada huku akijiburudisha na kujifunza mambo kadhaa muhimu. Kinaweza kutumiwa pamoja na kitabu chochote…

  • Product on sale
    Santana

    Santana

    0 out of 5
    Original price was: KSh400.Current price is: KSh350.

    Santana is a terrifying tale about a girl who is abducted by strange warriors on her way from school. She finds herself in a strange kingdom where she is to be married off to the prince of the land. She find a way to escape and go back to her land and people. The plot…

  • Product on sale
    Sauti ya Dhiki

    Sauti ya Dhiki

    0 out of 5
    Original price was: KSh610.Current price is: KSh510.

    Diwani hii – inayosheheni mashairi kuhusu utamaduni, mapenzi, nasaha, siasa, mambo ya kinyumbani, n.k. – ilitungwa baina ya 1969 na 1972 ambapo mtunzi alikuwa kifungoni baada ya kupatikana na hatia ya kuwachochea watu ili waipindue Serikali ya Kenya kwa kutumia silaha. Kwa hivyo, unapoisoma diwani hii hutaweza kujizuia kuona athari ambayo kifungo huweza kuwa nayo…

  • Product on sale
    Saving Isabel by Moran Integrity Readers

    Saving Isabel by Moran Integrity Readers

    0 out of 5
    Original price was: KSh344.Current price is: KSh310.

    Fate forces Isabel to do the unimaginable. At a very tender age, Isabel masters the skill of pickpocketing and graduates to the position of deputy gong leader. She has to do this for her family of street children Everybody in the gang has to steal for the welfare of the street children’s ‘government’ With every passing time, each of the once young children grows up and their needs become more and more sophisticated. They need to change their tactics of earning income. Under the leadership of Peter, members with exceptional talent are supposed to start robbing houses. What are the dangers involved? What will this gang do if at all the owners of the home recognize them? The consequences are many and will Isabel put on the new hat?

    ISBN: 9789966346582

End of content

End of content