KSh422Original price was: KSh422.KSh380Current price is: KSh380.
SOMA PAMOJA NA MTOTO WAKO Furahia uhondo wa kusoma pamoja na mtoto wako.
Mtoto wako atavipenda vitabu maishani mwake na atajifundisha kwa wepesi endapo
utazingatia hoja kumi rahisi zilizoorodheshwa hapa chini.
1. Soma pamoja na mtoto wako katika mazingira yaliyotulia kama vile kwenye
chumba cha kulala.
2. Mhimize mtoto awe na mazoea ya kusoma hadithi nzima kwa kutumia
viziada vya lugha kama vile kupandisha sauti. Asome hadithi nzima kwanza
akilenga kuifurahia tu kisha aisome tena ili ajue yaliyomo.
3. Mhimize mtoto ayaashirie maneno kwa vidole hasa anaposoma hadithi
aliyokwisha kuisoma awali.
4. Chunguza kama mtoto anaelewa aliyoyasoma kwa kumuuliza maswali rahisi
kuhusu michoro, wahusika na hadithi kwa jumla.
5. Kuwa na mtazamo chanya kuhusu hatua anayopiga mtoto katika usomaji
wake. Usimvunje moyo bali umsifu kwa kila hatua anayopiga.
6. Hakikisha kwamba mtoto anaisoma hadithi mara kadhaa.
7. Baada ya mtoto kuzoea kusoma hadithi fulani, mhimize ajaribu kukusomea
baadhi ya maneno ya hadithi hiyo au hadithi nzima,
8. Mnunulie mtoto wako vitabu tofauti tofauti vya kuburudisha kama vile vitabu
vya picha, vya kuchekesha na vya kuelimisha.
9. Mwonyeshe mtoto wako kwamba una nia ya kufuatilia na kujua hadithi
anazozisoma kwa kumuuliza maswali kuhusu hadithi hizo. Pia mhadithie
hadithi ulizosoma kwenye vitabu ulivyo navyo.
10.Uwe kielelezo bora kwa mtoto wako ili avithamini vitabu. Mwache mtoto
wako akuone wewe ukisoma vitabu vingi.
KSh540Original price was: KSh540.KSh525Current price is: KSh525.
Key Features:
CBC-Aligned & Competency-Focused: Fully covers the Grade 7 Agriculture syllabus, addressing key strands such as Crop Production, Animal Production, Soil Management, Farm Tools, and Sustainable Farming Practices.
Learner-Centered & Practical: Engages learners through hands-on activities, experiments, and real-life agricultural scenarios that connect theory to practice.
Extended Practice: Offers varied exercises, project-based tasks, and outdoor activities to strengthen understanding and promote independent learning.
Collaborative Learning: Encourages teamwork, peer discussions, and group projects to enhance problem-solving and communication skills.
Space for Reflection: Provides sections for learners to record observations, findings, and reflections, making it easy for teachers and parents to track progress.
KSh615Original price was: KSh615.KSh605Current price is: KSh605.
Key Features:
CBC-Aligned & Competency-Based: Thoroughly covers the Grade 7 Business Studies syllabus, focusing on key strands such as Entrepreneurship, Financial Literacy, Trade, and Consumer Education.
Learner-Centered & Practical: Uses real-life examples, case studies, and interactive tasks that help learners connect business concepts to everyday experiences.
Extended Practice: Provides a wide range of exercises, projects, and scenario-based activities to build critical thinking and decision-making skills.
Collaborative Learning: Promotes group discussions, teamwork, and role-play activities that encourage peer-to-peer learning and creativity.
Space for Reflection: Includes guided sections for learners to record ideas, evaluate business concepts, and reflect on personal learning progress.
KSh715Original price was: KSh715.KSh700Current price is: KSh700.
Key Features:
CBC-Aligned & Comprehensive: Fully addresses the Grade 7 English syllabus, covering Listening & Speaking, Reading, Grammar, and Writing to build strong language skills.
Learner-Centered & Engaging: Features captivating stories, poems, and passages with interactive activities that make learning enjoyable and meaningful.
Extended Practice: Provides comprehension questions, grammar drills, creative writing exercises, and vocabulary tasks to reinforce understanding and fluency.
Collaborative Learning: Encourages role plays, group discussions, and project work to promote teamwork, confidence, and effective communication.
Space for Reflection: Includes sections for learners to record personal responses, self-assessments, and progress reflections to support continuous growth.
KSh615Original price was: KSh615.KSh605Current price is: KSh605.
Key Features:
CBC-Aligned & Competency-Focused: Fully covers the Grade 7 Home Science syllabus, addressing key strands such as Nutrition, Food Preparation, Clothing & Textiles, Home Management, and Health Education.
Learner-Centered & Practical: Uses step-by-step demonstrations, real-life examples, and hands-on activities that link classroom learning to everyday life skills.
Extended Practice: Includes guided exercises, experiments, projects, and creative tasks that build independence and problem-solving abilities.
Collaborative Learning: Promotes teamwork through group cooking, cleaning, sewing, and role-play activities that encourage cooperation and shared responsibility.
Space for Reflection: Provides learners with opportunities to record observations, evaluate their work, and reflect on skills acquired for personal growth and progress tracking.
KSh615Original price was: KSh615.KSh605Current price is: KSh605.
Key Features:
CBC-Aligned & Strand-Based: Covers the full Grade 7 Integrated Science syllabus, focusing on strands such as Biology, Chemistry, Physics, and Environmental Science.
Learner-Centered & Practical: Presents scientific concepts through experiments, demonstrations, real-life examples, and inquiry-based activities that nurture curiosity and problem-solving.
Extended Practice: Provides varied exercises, projects, and practical investigations that reinforce understanding and promote self-directed learning.
Collaborative Learning: Encourages teamwork and peer learning through group experiments, discussions, and presentations.
Space for Reflection: Offers learners opportunities to record observations, evaluate findings, and reflect on their scientific learning journey for continuous progress.
KSh615Original price was: KSh615.KSh605Current price is: KSh605.
Key Features:
CBC-Aligned & Comprehensive: Fully covers the Grade 7 Performing Arts syllabus, focusing on strands such as Music, Dance, Drama, and Visual Expression.
Learner-Centered & Creative: Uses engaging activities, performances, and practical demonstrations that nurture learners’ creativity, talent, and self-expression.
Extended Practice: Provides exercises, projects, and performance-based tasks that allow learners to practice, refine, and showcase their artistic skills.
Collaborative Learning: Encourages group performances, role plays, and teamwork activities that build confidence, communication, and cooperation.
Space for Reflection: Offers learners opportunities to record personal experiences, evaluate performances, and reflect on artistic growth and progress.
KSh555Original price was: KSh555.KSh455Current price is: KSh455.
Hii ni hadithi ya Kotini, kijana ambaye alikuwa mui-mwivi, mnyangianyi na mcheza kamari; na mwishowe akabadilika kabisa na kuwa mwema – mtu mwenye heshima na kuheshimiwa, tena mjenzi maarufu wa majumba. Pia ni hadithi ya Mashaka, msichana mzuri, wa umbo na tabia, ambaye maisha yake yanaingiliana na Kotini na kuathirika kwa mabaya na mwishowe kwa…
KSh600Original price was: KSh600.KSh535Current price is: KSh535.
“Kumleta mwanafunzi wa kike mahali kama hapa huenda kukawa balaa kubwa!” Anasema Bw Karanja, naibu wa mwalimu mkuu katika Mukibi’s Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Bw. Mukibi, hata hivyo anaiona hiyo kuwa hatua nzuri sawa na wavulana wa shule hiyo pindi wanapopata habari hizo za kusisimua. Juli Sekabanja anaamua kwamba Musa na…
KSh600Original price was: KSh600.KSh535Current price is: KSh535.
Visa na Vituko vya Musa ni tafsiri ya Moses Series vilivyoandikwa na Barbara Kimenye, na ambavyo vinaangazia hali ya maisha ya wanafunzi shuleni mwao. Mbali na kuwa vinaburudisha na kuchekesha kwa visa mbalimbali vinavyomkumba Musa, yapo mafunzo mengi anayopata msomaji. Tafsiri hizi zinadumisha mvuto na mnato wa kazi asilia, na zitakupa shauku ya kusoma hadithi…
Wazo la kuanzisha shamba la shule linawafanya wanafunzi wa Mukibi’s Educational Institute for the Sons of African Gentlemen kuandaa mgomo baridi. Kwa madai yao wenyewe, wako shuleni ‘kusomea mitihani’ wala si kuwa mashokoa wa mwalimu mkuu, Mzee Mukibi. Hata hivyo, hakuna aliye tayari kumkabili mwalimu mkuu kwa kuhofia kuonekana muasi. Masaibu ya Musa na marafiki…
Siku ambayo mimi na King Kong tulitekwa nyara ilianza kama Jumamosi nyingine yoyote ile… Anasimulia, Musa, mwanafunzi mtundu zaidi ya wote nchini Uganda, mwanzoni mwa kisa chake cha nne. Naibu wa mwalimu mkuu, Bw Karanja, anaamua kuwa ni lazima marafiki hao, Musa na King Kong, wanyolewe. Wanapofika mjini asubuhi, wanafurahia uhuru wa kutokuwa shuleni –…
KSh594Original price was: KSh594.KSh535Current price is: KSh535.
Siku ambayo mimi na King Kong tulitekwa nyara ilianza kama Jumamosi nyingine yoyote ile … Anasimulia, Musa, mwanafunzi mtundu zaidi ya wote nchini Uganda, mwanzoni mwa kisa chake cha nne. Naibu wa mwalimu mkuu, Bw Karanja, anaamua kuwa ni lazima marafiki hao, Musa na King Kong, wanyolewe. Wanapofika mjini asubuhi, wanafurahia uhuru wa kutokuwa shuleni – hadi gari aina ya Mercedes Benz linapotokea na kukatiza ghafla raha yao.