Showing 2001–2020 of 2068 results
-
-
Vidudumtu na Fundi wa Viatu Hadithi zA LADYBIRD
0 out of 5KSh333Original price was: KSh333.KSh300Current price is: KSh300.Hadithi za ‘Ladybird’ zimesimuliwa kwa kuzingatia mikusanyiko ya hadithi za ‘Well-Loved Tales’ ambazo zinapendwa na wasomaji wengi sana.
Hadithi hizi za kipekee zimepambwa michoro maridadi ambapo inaleta ubora na uhondo wa masimulizi pa Ladybird kwa wasomaji wa kizazi kipya. Watoto kutoka kizazi hadi kizazi wamependa sana hadithi hizi. na watapata burudani zaidi kwa kuzisoma pamoja.
ISBN: 9780241331927
-
Village Fool and other Stories by Chetambe klb
0 out of 5KSh500Original price was: KSh500.KSh450Current price is: KSh450.The stories in this collection capture the laughter and tears of a twenty-first-century society as it sways forwards and backward in the search for happiness. In both the village and the city, emerging values confront the older system in an increasingly globalized and digitized social-economic context. The lives of the ordinary village and city folk…
-
Vioja vya Musa 8b by Hezron Mogambi
0 out of 5KSh422Original price was: KSh422.KSh380Current price is: KSh380.Fumbo Musa ni kijana anayetoka katika familia maskini. Hata hivyo. mwajiri wa baba yake anaamua kumlipia karo ili asomee shule ya bweni ya Kaachonjo. Shuleni anakumbwa na hali ngumu kwa kuwa wanafunzi wengi wanotoka katika familia za walalaheri. Kutokana na bidii masomoni na uadilifu, Musa anateuliwa kuwa kiranja mkuu. Hata hivyo, cheo hiki hakimpi furaha kwani anateuliwa na kuchekwa kwa sababu ya umaskini wa familia yao. Musa anashawishika kushiriki maovu ili kujipatia hela za kujistarehesha shuleni. Jambo hili linamzushia balaa, vioja na mikasa …
ISBN: 9789966342492
-
Vipawa vya Hasina
0 out of 5KSh460Original price was: KSh460.KSh360Current price is: KSh360.Vipawa vya Hasina’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi, usimulizi kwa nafsi ya kwanza umoja, mbinu rejeshi na uzungumzi nafsia. Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi,…
-
Visa na Vituko Dhiki yangu 6b
0 out of 5KSh277.77Original price was: KSh277.77.KSh250Current price is: KSh250.ISBN: 9789966258281
-
Visa na Vituko Hazina na Abdul 4h by Mathias Momanyi
0 out of 5KSh233Original price was: KSh233.KSh210Current price is: KSh210.Visa na Vituko Hazina na Abdul 4h
ISBN: 2010143000616
-
Visa na Vituko Pilipili ya Miri 4c by Arnold Msuya
0 out of 5KSh200Original price was: KSh200.KSh180Current price is: KSh180.Visa na Vituko Pilipili ya Miri 4c
ISBN: 2010143000612
-
Visa Vya Shilingi Na Kobe
0 out of 5KSh350Original price was: KSh350.KSh290Current price is: KSh290.Muli na Ndungi ni marafiki wakubwa. Walimsaidia mvulana kwa jina Mumo kwenda nyumbani alipoteguka mguu wakicheza. Muli na Ndungi walipewa kila mmoja pakiti ya peremende na babake Mumo. Peremende za Muli zinaendelea kuongezeka. Peremende za Ndungi nazo zinaendelea kupunguka na mwishowe kumalizika. Je, ni kwa nini peremende za Muli zinaongezeka na za Ndungi kupungua?
-
Vitendawili kwa Mashairi
0 out of 5KSh390Original price was: KSh390.KSh295Current price is: KSh295.Vitendawili kwa Mashairi’ 5b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Tano katika shule za msingi. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Mashairi mepesi ya tarbiya ya beti moja moja. Umahiri wa mtunzi wa kutoa majibu ndani ya beti. Mtindo maalumu wa…
-
Vituko Vya Meja na Hadithi Nyingine
0 out of 5KSh500Original price was: KSh500.KSh450Current price is: KSh450.Leshan na Aida wanajipata mashakani baada ya kusingiziwa kulichafua darasa lao. Je, nani anayelichafua darasa la wanafunzi wa gredi ya tatu na kuvuruga amani? Nani ndiye mshindi katika mchezo wa taka unaoongozwa na Aida ?
Soma ufahamu jinsi Aida na Leshan wanavyokumbana na changamoto wanapoachiwa Joni wamtunze.
ISBN:9789966623775
-
Vituko vya Panya: Panya mjanja mtegoni by Yahya Mutuku
0 out of 5KSh211Original price was: KSh211.KSh190Current price is: KSh190.Panya Mjanja Mtegoni ni kitabu cha tatu katika msururu wa Vituko vya Panya. Panya Mjanja, kwa mara nyingine, anadhihirisha kwamba ujanja wake ungalipo. Amefungiwa mtegoni kwa tamaa yake. Je, atafaulu kujinasua?”
ISBN: 9789966788689
-
Vituko vya Sungura
0 out of 5KSh350Original price was: KSh350.KSh265Current price is: KSh265.Vituko vya Sungura 4d ni kitabu kinachotenga wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusomo. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi ya hadithi za kale kwa njia ya shairi. Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia utambaji wa hadithi, ukariri wa beti za…
-
VOICES OF THE LAND AND OTHER POEMS
0 out of 5KSh555Original price was: KSh555.KSh455Current price is: KSh455. -
Wanyama wa Nyumbani 1b by Catherine Wanjiku
0 out of 5KSh227Original price was: KSh227.KSh205Current price is: KSh205.Watu wanaishi na wanyama wa aina tofauti nyumbani. Wanyama wa nyumbani ni wazuri. Wanyama hao wanawasaidia watu kupata vitu mbalimbali. Watu nao wanawasaidia wanyama hao kukaa mahali pazuri na salama. Wanyama hao pia wanapewa vyakula na maji. Wanyama hutoa sauti za aina tofauti. Soma kitabu hiki. Utawajua wanyama wa nyumbani na umuhimu wake kwetu,pia utajua sauti zao.
ISBN: 9789966347671
-
Warthog’s Tail
0 out of 5KSh444Original price was: KSh444.KSh400Current price is: KSh400.FUN STORIES THAT TEACH LIFESKILLS
This story is for children aged 7-8 years (Grade 3). It is a book that teaches children to be brave even when they are scared.
In African plains, you often see warthogs. They stay in families or small groups and trot one behind the other in a straight line. They have long, thin tails with a black tuft of hair at the end. They hold their tails straight up behind them. The tufts act like tiny flags. They help a warthog family stay together. The black tuft also serves as a warning signal in case of danger. So what happens when Little Warthog cannot hold up its tail?
- Author:
- Kenny Mann
ISBN: 9789966621221
-
Wazalendo Chipukizi na Hadithi Nyingine
0 out of 5KSh400Original price was: KSh400.KSh320Current price is: KSh320. -
We Come In Peace
0 out of 5KSh500Original price was: KSh500.KSh435Current price is: KSh435.This is a story of slave trade as we know it. A riveting plot that moves back and forth in time – from ancient times to the present – with amazing ease.
End of content
End of content

























