KSh244Original price was: KSh244.KSh220Current price is: KSh220.
Kulanga alizaliwa katika maingira magumu yasiyosikika wala kutajika.
Hali hii haikulua ndoto yake ya kufanikiwa Tabia njema na bidii yake
zilimfanya aheshimike na walimu pamoja na wenzake shuleni
Wavyele wake walipoipa dunia kisogo, ilionekana kana kwamba hataweza kufikia ile ndoto ya ajabu aliyokuwa nayo.
Mfadhili wake anauawa kwa sumu na kisha mke wa mfadhili kukatisha ufadhille kijana huyu atafanyaje i kufanikiwa
maishani na kuifikia ndoto yake?
KSh322Original price was: KSh322.KSh290Current price is: KSh290.
Ufalme wa Mende ni hadithi ya kusisimua inayolenga kutoa tahadhari dhidi ya kutozingatia usafi.Mzee tabu na mwanawe anayeitwa Mchafu, wanaathirika sana na mende hali inayoletwa na kutopenda usafi.
Nyumba ya mzee Tabu imekuwa miliki ya mende.Imetawaliwa na mende. Ufalme wa Mende. Mende hawa wanaleta maangamizi makubwa ya kuatua moyo.kUNATOKEA NINI?
KSh450Original price was: KSh450.KSh385Current price is: KSh385.
Je, unafikiri Jelani alihitaji uhuru wa aina gani? Je, ni nini kilichokuwa kimemsababishia ukosefu wa uhuru? Atafanya nini ili aweze kuupata uhuru huo? Je, atafanya nini iwapo ataupata uhuru huo? Uhuru wa Jelani ni novela iliyosukwa kwa mtindo wa kipekee. Mwandishi ameyaweka bayana masuala ya kitamaduni ambayo yanaweza kutinga maendeleo ya mtoto msichana katika jamii ya…
KSh350Original price was: KSh350.KSh315Current price is: KSh315.
Tito alijua kwamba hii ndio nafasi ya pekee aliyokuwa nayo ya kujinasua. Alijua kuwa ujasiri wake tu ndio ungemwokoa. Tito alikabiliwa na hatari kubwa. Hatari hii ilitishia kumpoteza kwao milele. Hatari hii ingemtenganisha na wazaziwe na nduguye, Jesi, daima. Tito aliogopa haya. Aliogopa sana. Ndiyo maana aliamua kujijasiri. Alijua kuwa ujasiri huu huenda ungemletea adhabu…
KSh350Original price was: KSh350.KSh315Current price is: KSh315.
Tito alijua kwamba hii ndio nafasi ya pekee aliyokuwa nayo ya kujinasua Alijua kuwa ujasiri wake tu ndio ungemwokoa Tito alikabiliwa na hatari kubwa. Hatari hii ilitishia kumpoteza kwao milele. Hatari hii ingemtenganisha na wazaziwe na nduguye, Jesi, daima.Tito aliogopa haya. Aliogopa sana. Ndiyo maana aliamua kujijasiri. Alijua kuwa ujasiri huu huenda ungemletea adhabu kali, lakini hakuwa na budi ila kujitwika ujasiri huu. Ilimbidi afanye lolote, ajikakamue, mradi tu ajiokoe! Ujasiri wa Tito ni mojawapo ya hadithi katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
KSh300Original price was: KSh300.KSh235Current price is: KSh235.
Shada, Sudi na marafiki zao wanapenda kucheza pamoja kila Jumamosi. Jumamosi hii, mama anawaita Shada na wenzake kula chakula cha mchana. Baada ya kula na kurudi kucheza, Shada anashikilia tumbo lake
KSh425Original price was: KSh425.KSh325Current price is: KSh325.
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. The storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting…
KSh350Original price was: KSh350.KSh260Current price is: KSh260.
Wakati wa somo kuhusu vyombo vya usafiri, Maria anaonesha kipawa cha kipekee. Anawashangaza wanafunzi wenzake anapowaonesha kinyago cha gari alichokitengeneza mwenyewe. Je, Maria aliwezaje kukitengeneza
KSh322Original price was: KSh322.KSh290Current price is: KSh290.
Huu ni mkusanyiko wa hadithi kumi na mbili, zenye mafunzo sufufu katika jamii ya leo. Ni hadithi ambazo zitakufanya uache kula pilau kwa samaki ili uzisome kwanza! utakapokuwa ukizisoma, zitakufanya usahau ulikuwa na mlo mezani kutokana na ucheshi uliomo. Hadithi hizi zinanuia kuwafundisha wanafunzi maadili ili wajenge mustakabali.
KSh350Original price was: KSh350.KSh265Current price is: KSh265.
Usicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi ya hadithi. Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mjadala, nyimbo, taharuki na…
KSh288Original price was: KSh288.KSh260Current price is: KSh260.
Usicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo jjjp kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki fii:
Masimulizi rahisi ya hadithi.
Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mjadala, nyimbo, taharuki na sentensi fupifupi.
Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya michezo ya kitoto, ushirikiano na ujirani mwema, kichekesho, sifa na hulka za watu tofauti na maarifa juu ya kukabiliana na hatari ya moto.
KSh750Original price was: KSh750.KSh685Current price is: KSh685.
Kila mtu hufanya juhudi ili apate kufaulu maishani. Katika hali hii, ahadi nyingi hutolewa, miadi ikapangwa na mikakati kuwekwa ili kufanikisha maazimio. ‘Utashi wa Dola na hadithi nyingine’ ni mkusanyo wa hadithi fupi zinazoakisi maisha ya wanadamu: hisia zao, mitazamo yao, ndoto zao, matumaini yao. Ubora wa hadithi katika mkusanyo huu haumo tu katika uanuwai…
KSh530Original price was: KSh530.KSh490Current price is: KSh490.
Mhandisi Maselu ni mfano bora wa mwanataaluma ambaye amefanikiwa kujinyanyua kiuchumi kwa kuegemea maadili na mwenendo wa uwazi na uwajibikaji kazini na katika familia yake. Mwanawe Tony anamhusudu babake na kufanya juu chini kufuata nyayo zake. Lakini tajiriba anazokumbana nazo maishani zinamfunza kwamba dunia rangi rangile. Maisha hayatabiriki, na kamwe, binadamu hana uwezo wa kuyadhibiti…