Why Hyena has Spots 1e
KSh211.00 Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.
Related products
-
Ahaa! Roda by Nyambeka
KSh355.00Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartRoda ni msichana mdogo ambaye ana ndoto ya kufanikiwa maishani – ndoto ya kuwa jaji. Maisha katika kijiji cha Tupe si rahisi hata kidogo. Kwanza anatoweka asijulikane alipo. Pili mama yake anauawa kinyama na watu wasiojulikana. Baada ya mazishi ya mama yake, mjomba wake Bwana Kilemba anamchukua ili kumtunza. Mke wake Bibi Mnuna yuaonekana kutopendezwa na hatua hiyo. Anageuka kuwa katili kwake Roda. Je, Roda ataweza kuitimiza ndoto yake mikononi mwa Mnuna? Usisubiri kuambiwa uisome hadithi hii.
ISBN: 9789966075628
-
Mchongoma 3b by Moran
KSh328.00Original price was: KSh328.00.KSh295.00Current price is: KSh295.00.Add to cartTuliondoka pale maziarani, mama akiwa mbele yetu kuongoza rubaa hadi kiamboni.Nilimtazama alivyotembea. Alikuwa mnyonge, gofu la mtu, kabaki mitulinga ,nyonga na fuvu la kichwa. Alikuwa mnyonge mfano wa sabatele changaraweni. Tulitembea guu bandika guu bandua. Kimya. Unywele ungalianguka, ungaliusika
Siku hii naikumbuka kama jina langu…..
ISBN : 9789966342355
-
Not now, Jimmy boy by Okoth
KSh355.00Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartNekesa’s life is in a whirl when she receives a letter from Jimmy,
the boy in Form 3 from a rich background. Every girl appears to be keen on Jimmy.
Unknown to her, Jimmy’s move is a scheme by forces intent on seeing her and her family go into ruins.
What will she do, and what does Jimmy’s letter portend for her future?
Charles O. Okoth is a teacher at Butula Boys High School. He was one of the three winners of the
Burt Award for African Literature in 2015 and was shortlisted for the same award in 2018.
He has authored several acclaimed works of poetry and fiction including Fools’ Express,
The Adventures of Thunder and Thunder in Love.ISBN: 9789970398171
-
Siku za Juma 1a by Nyakeri
KSh225.00Original price was: KSh225.00.KSh203.00Current price is: KSh203.00.Add to cartJuma na Maria ni wanafunzi wa darasa la kwanza. Wao hufanya mambo mbalimbali kila siku. Mambo ambayo wanafanya nyumbani ni tofauti na mambo wanayofanya shuleni. Soma kitabu hiki. Utajua ni mambo gani Juma na Maria wanafanya.
ISBN: 9789966342478
-
Ziara ya Meno by Zawadi
KSh211.00Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartZiara ya Meno Siku ya Meno ni hadithi ya pili katika msururu wa “Mazingira na Afya’.
Kitabu hiki kinashughulikia usafi na afya ya meno. Lengo hili limetimizwa kupitia safari ya akina Baraka na Zawadi.
Njia za kutunza meno na athari za kutoyatunza zimewekwa wazi kupitia majadiliano baina ya wahusika.
Je, wahusika wananufaika mwisho wa kikao?ISBN: 9789966788849








Reviews
There are no reviews yet.