Spotlight Mathematics Workbook Grade 1 by Spotlight Publishers
KSh467.00 Original price was: KSh467.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.
Related products
-
EAEP Akili pevu Kiswahili Angaza Gredi 1 (Approved)
KSh555.00Original price was: KSh555.00.KSh500.00Current price is: KSh500.00.Add to cartKiswahili Angaza ni kazi iliyosukwa na kuwambwa kwa makini na kwa kina kirefu. Imetimiza kwa ukomo wa ukamilifu mahitaji ya mtalaa mpya wenye kuzingatia umilisi, yaani, Competency-Based Curriculum, 2018. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kinazingatia mambo matano muhimu:
1. Kusoma ni kutagusano; wanafunzi wanafanya Shughuli mbalimbali wakiwa peke yao, wawili wawili au katika makundi;
2. Wanafunzi wancionza kilo somo kwa kuelezea picha au hall amo matukio wanayoyafomu huku wakijadiliana;
3. Wanafunzi wanashiriki katika stadi nyingi za kufikiria kama vile kuchanganua, kutambuo, kubainisha, kujenga na kuhakiki;
4. Lugha iliyotumika ni nyepesi mno no isiyokuwa no maneno mogumumagumu no misomiati ya kubaboisha;
5. Mwanafunzi no mwanafunzi mwenzoke, pamoja na mwolimu, mzazi na hata jornii nzimo wanashirikishwa ndani ya kitobu hiki.ISBN: 9789966562821
-
KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili Grade 1 (Approved)
KSh311.00Original price was: KSh311.00.KSh280.00Current price is: KSh280.00.Add to cart
KLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 1 (Kitabu cha Mwanalunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi.
Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya linsia. utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu.
ISBN: 9789966652324
-
Storymoja Know More Music Grade 1
KSh533.00Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartKnow More Music Learner’s Activity Book for Grade is written in conformity to the new competency-based curriculum design to assist learners carry out various interactive learning activities.
The book provides learners with opportunities to develop core competencies, values, skills and attitudes.
ISBN: 9789966623737
-
-
Storymoja Know More Art and Craft Grade 1
KSh533.00Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartKnow More Art and Craft Learner’s Book for Grade 1 is written in conformity to the new competency-based curriculum design to assist learners carry out various interactive learning activities.
The book provides learners with opportunities to develop core competencies, values, skills and attitudes.
ISBN: 9789966622259
Reviews
There are no reviews yet.