Joy Kids Bible
KSh950.00 Original price was: KSh950.00.KSh890.00Current price is: KSh890.00.
Related products
-
Ahaa! Roda by Nyambeka
KSh355.00Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartRoda ni msichana mdogo ambaye ana ndoto ya kufanikiwa maishani – ndoto ya kuwa jaji. Maisha katika kijiji cha Tupe si rahisi hata kidogo. Kwanza anatoweka asijulikane alipo. Pili mama yake anauawa kinyama na watu wasiojulikana. Baada ya mazishi ya mama yake, mjomba wake Bwana Kilemba anamchukua ili kumtunza. Mke wake Bibi Mnuna yuaonekana kutopendezwa na hatua hiyo. Anageuka kuwa katili kwake Roda. Je, Roda ataweza kuitimiza ndoto yake mikononi mwa Mnuna? Usisubiri kuambiwa uisome hadithi hii.
ISBN: 9789966075628
-
Vituko vya Panya: Panya mjanja mtegoni by Yahya Mutuku
KSh211.00Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartPanya Mjanja Mtegoni ni kitabu cha tatu katika msururu wa Vituko vya Panya. Panya Mjanja, kwa mara nyingine, anadhihirisha kwamba ujanja wake ungalipo. Amefungiwa mtegoni kwa tamaa yake. Je, atafaulu kujinasua?”
ISBN: 9789966788689
-
Uchochole si Kilema by Nyambu
KSh244.00Original price was: KSh244.00.KSh220.00Current price is: KSh220.00.Add to cartKulanga alizaliwa katika maingira magumu yasiyosikika wala kutajika.
Hali hii haikulua ndoto yake ya kufanikiwa Tabia njema na bidii yake
zilimfanya aheshimike na walimu pamoja na wenzake shuleni
Wavyele wake walipoipa dunia kisogo, ilionekana kana kwamba hataweza kufikia ile ndoto ya ajabu aliyokuwa nayo.
Mfadhili wake anauawa kwa sumu na kisha mke wa mfadhili kukatisha ufadhille kijana huyu atafanyaje i kufanikiwa
maishani na kuifikia ndoto yake?ISBN: 9789966075260
-
Mti wa Ajabu by Nyambura Mpesha
KSh228.00Original price was: KSh228.00.KSh205.00Current price is: KSh205.00.Add to cartKatika nchi ya Tofali, paliondokea mti ambao ulishangaza kila mtu. Alfajiri, majani ya mti huo yaligeuka rangi na kuwa ya buluu, mchana yakawa ya kijani, alasiri yakawa njano, jioni yakawa ya hudhurungi na meusi usiku. Jinsi mti huo ulivyokua kwa kimo, ndivyo ulivyopanuka. Mti huo ulitisha. Hakuna mtu aliyethubutu kuukaribia.Siku moja vijana wawili wakakamavu waliamua kuukaribia. Je, waliangamizwa na mti huo wa ajabu au walirudi kijijini wakiwa wazima?
ISBN: 9789966342508
-
Dafina ya Ushairi by Ayubu
KSh322.00Original price was: KSh322.00.KSh290.00Current price is: KSh290.00.Add to cartDafina ya Ushairini diwani yenye kutoa mwanga katika
fani ya ushairi kwa shule za msingi. Huu ni mkusanyiko wa mashairi
mepesi ambayo yametungwa kufundi kwa kuangazia maudhui mapana tangia nidhamu,
maadil, bidii, elimu, mazingira na masuala mengine ibuka.ISBN: 9789966140180








Reviews
There are no reviews yet.