Sale!
Sale!
Sungura ni mbaya 3
Original price was: KSh238.00.KSh215.00Current price is: KSh215.00.
Category
KSh238.00 Original price was: KSh238.00.KSh215.00Current price is: KSh215.00.
Ngano za mashairi ni mkusanyo wa hadithi fupifupi za kuchangamsha. Kila hadithi inafuatwa na shairi rahisi la kusisitiza yaliyosimuliwa. Pamoja na kuburudisha hadithi zilizomo zinato Mfunzo muhimu kwa wasomaji.
ISBN : 9789966342386
Katika nchi ya Tofali, paliondokea mti ambao ulishangaza kila mtu. Alfajiri, majani ya mti huo yaligeuka rangi na kuwa ya buluu, mchana yakawa ya kijani, alasiri yakawa njano, jioni yakawa ya hudhurungi na meusi usiku. Jinsi mti huo ulivyokua kwa kimo, ndivyo ulivyopanuka. Mti huo ulitisha. Hakuna mtu aliyethubutu kuukaribia.Siku moja vijana wawili wakakamavu waliamua kuukaribia. Je, waliangamizwa na mti huo wa ajabu au walirudi kijijini wakiwa wazima?
ISBN: 9789966342508
What do you do when you make a mistake? Sam and his friends are playing football near Mrs Otin’s house. By mistake, their ball breaks Mrs Otin’s window pane. What will they do?
ISBN: 9789966346513
Ali ni mwanafunzi wa Darasa la Kwanza. Mahali anakoishi kuna vitu vya aina nyingi. Vitu hivyo vina rangi mbalimbali. Ali anazipenda rangi hizo. Ungana na Ali katika kitabu hiki. Utajua vitu na rangi zake.
ISBN: 9789966342676
Panya Mjanja Mtegoni ni kitabu cha tatu katika msururu wa Vituko vya Panya. Panya Mjanja, kwa mara nyingine, anadhihirisha kwamba ujanja wake ungalipo. Amefungiwa mtegoni kwa tamaa yake. Je, atafaulu kujinasua?”
ISBN: 9789966788689
Reviews
There are no reviews yet.