Sungura ni mbaya 3
KSh238.00 Original price was: KSh238.00.KSh215.00Current price is: KSh215.00.
Related products
-
Siri ya baba yangu kitabu cha kwanza by Yahya Mutuku
KSh355.00Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartNi wakati wa usiku, usiku wa mashetani wakati kijana Fadhili anapozinduka na kumfumania baba yake akiufunga mlango wa chumba chake. Ni baba anayetekeleza mpango wa siri asiofaa kuujua Fadhili.
Fadhili anaamua kukitegua kitendawili cha tukio hilo kwa kujiingiza katika hatari zisizo kifani. Hii ni mojawapo ya hadithi ambayo imefumwa ikafumika mfumo ambao utamshangaza yeyote atakayeisoma.ISBN: 9789966075604
-
Ahaa! Roda by Nyambeka
KSh355.00Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartRoda ni msichana mdogo ambaye ana ndoto ya kufanikiwa maishani – ndoto ya kuwa jaji. Maisha katika kijiji cha Tupe si rahisi hata kidogo. Kwanza anatoweka asijulikane alipo. Pili mama yake anauawa kinyama na watu wasiojulikana. Baada ya mazishi ya mama yake, mjomba wake Bwana Kilemba anamchukua ili kumtunza. Mke wake Bibi Mnuna yuaonekana kutopendezwa na hatua hiyo. Anageuka kuwa katili kwake Roda. Je, Roda ataweza kuitimiza ndoto yake mikononi mwa Mnuna? Usisubiri kuambiwa uisome hadithi hii.
ISBN: 9789966075628
-
Girl with a knot in her hair by Queenex
KSh222.00Original price was: KSh222.00.KSh200.00Current price is: KSh200.00.Add to cartThis is a story about a girl who did not like to comb her hair.
The little girl’s hair grows into a big knot. The knot is so big that Owl and some other animals move in and make a home. The girl’s friends all run away because the Owl is always hooting and tooting.
How will the little girl get rid of all the animals in her hair?
This interesting story teaches the reader about the importance of keeping hair neat and clean.ISBN: 9789966075987
-
Ngano za Mashairi
KSh289.00Original price was: KSh289.00.KSh260.00Current price is: KSh260.00.Add to cartNgano za mashairi ni mkusanyo wa hadithi fupifupi za kuchangamsha. Kila hadithi inafuatwa na shairi rahisi la kusisitiza yaliyosimuliwa. Pamoja na kuburudisha hadithi zilizomo zinato Mfunzo muhimu kwa wasomaji.
ISBN : 9789966342386
-
Mti wa Ajabu by Nyambura Mpesha
KSh228.00Original price was: KSh228.00.KSh205.00Current price is: KSh205.00.Add to cartKatika nchi ya Tofali, paliondokea mti ambao ulishangaza kila mtu. Alfajiri, majani ya mti huo yaligeuka rangi na kuwa ya buluu, mchana yakawa ya kijani, alasiri yakawa njano, jioni yakawa ya hudhurungi na meusi usiku. Jinsi mti huo ulivyokua kwa kimo, ndivyo ulivyopanuka. Mti huo ulitisha. Hakuna mtu aliyethubutu kuukaribia.Siku moja vijana wawili wakakamavu waliamua kuukaribia. Je, waliangamizwa na mti huo wa ajabu au walirudi kijijini wakiwa wazima?
ISBN: 9789966342508







Reviews
There are no reviews yet.