Showing 41–60 of 1374 results

  • Product on sale
    Adventure Of  Cunning Mr Rabbit

    Adventure Of Cunning Mr Rabbit

    0 out of 5
    Original price was: KSh320.Current price is: KSh250.

    Rabbit was always a tricky and naughty animal.He would often play nasty tricks on other animals. Read the adventures of Rabbit in this exciting story of Adventures of Cunning Mr. Rabbit.  Â

  • Product on sale
    Adventure of Tom Sawyer lvl 7 (Queenex)

    Adventure of Tom Sawyer lvl 7 (Queenex)

    0 out of 5
    Original price was: KSh400.Current price is: KSh350.
  • Product on sale
    Afanyaye Ubaya Hulipwa 3c by Oxford

    Afanyaye Ubaya Hulipwa 3c by Oxford

    0 out of 5
    Original price was: KSh278.Current price is: KSh250.

    ISBN: 9780195730661

  • Product on sale
    Ah! Shangazi Mela

    Ah! Shangazi Mela

    0 out of 5
    Original price was: KSh400.Current price is: KSh330.

    Nanjira anajipata njiani tena,wakati huu kutoka mashambani kuelekea Nairobi. Ingawa kumbukumbu za maisha aliyoishi na wazazi wake zinamjia anapopata mjini Naivasha, ana raha ya kwenda kusomea Nairobi. Nani asingefurahia kusomea jijini? Lakini kile ambacho Nanjira hajui ni kuwa shangazi yake, Mela, ana mpango tofauti. ‘Ah! Shangazi Mela’ ni mojawapo ya hadithi katika mradi wa kusoma. Huu ni…

  • Product on sale
    Ahaa! Roda by Nyambeka

    Ahaa! Roda by Nyambeka

    0 out of 5
    Original price was: KSh355.Current price is: KSh320.

    Roda ni msichana mdogo ambaye ana ndoto ya kufanikiwa maishani – ndoto ya kuwa jaji. Maisha katika kijiji cha Tupe si rahisi hata kidogo. Kwanza anatoweka asijulikane alipo. Pili mama yake anauawa kinyama na watu wasiojulikana. Baada ya mazishi ya mama yake, mjomba wake Bwana Kilemba anamchukua ili kumtunza. Mke wake Bibi Mnuna yuaonekana kutopendezwa na hatua hiyo. Anageuka kuwa katili kwake Roda. Je, Roda ataweza kuitimiza ndoto yake mikononi mwa Mnuna? Usisubiri kuambiwa uisome hadithi hii.

    ISBN: 9789966075628

  • Product on sale
    Ahsante Ya Punda

    Ahsante Ya Punda

    0 out of 5
    Original price was: KSh350.Current price is: KSh315.

    ‘Ahsante ya Punda’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa to Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya tamthlia na mbinu rejeshi, kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia dayolojia, misemo, methali, taharuki, kejeli, chuku, utani, wimbo,…

  • Product on sale
    Ahsante ya Punda 6d by Walibora

    Ahsante ya Punda 6d by Walibora

    0 out of 5
    Original price was: KSh350.Current price is: KSh315.

    Ahsante ya Punda 6d ni kitabu ktnacholenga wanafunzi wa Darasa to Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

    • masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya tamthlia na mbinu rejeshi.
    • kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia dayolojia, misemo, methali, taharuki, kejeli, chuku, utani, wimbo, vichekesho, majina ya majazi na picha za rangi zenye kusisimua.
    •  kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani na kijijiini na matatizo yoke, ujirani, mahakamani na mambo ya kisheria, stadi za maisha, uwajibikaji, kazi, utu, uaminifu, uadilifu, ushirikiano, haki za binadamu, kuishi kwa utangamano na amani.

    Mradi wa Kusoma ni mfulutizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi a Kiswahiti Sanifu.

    ISBN: 9780195734553

  • Product on sale
    Akili ni Mali na Hadithi Nyingine Lvl 5b (Queenex)

    Akili ni Mali na Hadithi Nyingine Lvl 5b (Queenex)

    0 out of 5
    Original price was: KSh350.Current price is: KSh290.

    Queenex Hadithi za Ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii

  • Product on sale
    Aladdin level 3

    Aladdin level 3

    0 out of 5
    Original price was: KSh233.Current price is: KSh210.

    Aladdin is a poor boy who lives with his mother What happens when he meets a magician and finds a magical lamp Based on the traditional Arabian folk tale Read it yourself with Ladybird is one of Ladybird s best selling reading series For over thirty five years it has helped young children who are learning to read develop and improve their reading skills Each Read it yourself ebook is very carefully written to include many key high frequency words that are vital for learning to read as well as a limited number of story words that are introduced and practised throughout Simple sentences and frequently repeated words help to build the confidence of beginner readers and the four different levels of stories support children all the way from very first reading practice through to independent fluent reading Children can also listen to the story being read by using the built in voiceover option to give them confidence to tackle it themselves Each ebook has been carefully checked by educational consultants and can be read independently at home or used in a guided reading session at school Further content includes comprehension puzzles helpful notes for parents carers and teachers and book band information for use in schools Aladdin is a Level Read it yourself ebook suitable for children who are developing reading confidence and stamina and are eager to start reading longer stories with a wider vocabulary

    ISBN: 9780723280828

  • Product on sale
    ALESO NA TUMBIRI EAEP

    ALESO NA TUMBIRI EAEP

    0 out of 5
    Original price was: KSh310.Current price is: KSh230.
  • Product on sale
    Ali apigania haki yake

    Ali apigania haki yake

    0 out of 5
    Original price was: KSh350.Current price is: KSh250.

    Ali, mvulana mwenye umri wa miaka kumi, anatamani kusoma hadi chuo kikuu. Hata hivyo, nyanya yake anamwagiza kumchungia mbuzi badala ya kwenda shuleni. Ali anabuni mbinu za kurejea shuleni na wakati huo huo kuendelea kumsaidia nyanya yake. Je, juhudi zake zitazaa matunda?

  • Product on sale
    Ali Baba and Other Stories

    Ali Baba and Other Stories

    0 out of 5
    Original price was: KSh1,600.Current price is: KSh1,500.
  • Product on sale
    Alien attack 8s by Mwanzia

    Alien attack 8s by Mwanzia

    0 out of 5
    Original price was: KSh272.Current price is: KSh245.

    King of all Fish

    ISBN: 2010141001222

  • Product on sale
    Alomo the Robin 3h by Frank Odoi

    Alomo the Robin 3h by Frank Odoi

    0 out of 5
    Original price was: KSh228.Current price is: KSh205.

    ISBN: 9789966255594

  • Product on sale
    Alone at home by Moran

    Alone at home by Moran

    0 out of 5
    Original price was: KSh300.Current price is: KSh270.

    No one can see Sam.  He steals and eats the grapes meant for his break snack. Will Mother say good boy and give him more grapes?

    ISBN: 9789966346483

  • Product on sale
    Amariga the Greedy Boy 2e by EAEP

    Amariga the Greedy Boy 2e by EAEP

    0 out of 5
    Original price was: KSh211.Current price is: KSh190.

    ISBN: 9789966255389

  • Product on sale
    Amazing race by Story Moja  by Muchemi

    Amazing race by Story Moja by Muchemi

    0 out of 5
    Original price was: KSh422.Current price is: KSh380.

    Kamau is set to run the race of his life. Will his Baba show up to see him win? Will uganga rays help him? Is his main competitor more determined to win than him? How far is his competitor prepared to go to win? Based on a real-life experience, The Amazing Race explores the sort of challenges faced by children that can build or break their character. As highlighted in the appendix of the story, there are no right or wrong answers when it comes to emotions. Exploring our feelings increases our emotional intelligence. The Points to ponder, in the appendix, promote independent thought by encouraging the reader to relate the learning in the story to their own life. Answering the questions will also sharpen the reader’s critical thinking skills. The story and the discussion points allow for enjoyable and stimulating reading and conversation. The Amazing Race is a must-read and must-shared story. – Juliet Maruru, writer, teacher

    ISBN: 9789966001627

  • Product on sale
    Placeholder

    Amerudi

    0 out of 5
    Original price was: KSh400.Current price is: KSh350.
  • Product on sale
    Amri Ya Wakati

    Amri Ya Wakati

    0 out of 5
    Original price was: KSh500.Current price is: KSh425.

    Kiu ya Matonga inamsukuma kutaka kuhama kwenda nchi za ng’ambo anakodhani atapata riziki. Lakini vyote ving’aavyo si dhahabu.

  • Product on sale
    Animals On Safari

    Animals On Safari

    0 out of 5
    Original price was: KSh350.Current price is: KSh315.

End of content

End of content