-
KSh320 Original price was: KSh320.KSh260Current price is: KSh260.
Baada ya kufanya vizuri katika mtihani, Sudi na Shada wanapelekwa na wazazi wao kwenye mbuga ya wanyama. Wanapofika mbugani, Sudi anatoweka pasi na yeyote kumwona. Wazazi wake na dada yake
-
KSh300 Original price was: KSh300.KSh235Current price is: KSh235.
Masomo ya ljumaa yanapokamilika katika shule ya msingi ya Mwangaza, mwalimu anawapa Sudi, Shada na wanafunzi wenzao wa gredi ya tatu kazi ya ziada. Mwalimu anawaagiza kuwa wakati wa wikendi waende
-
KSh300 Original price was: KSh300.KSh235Current price is: KSh235.
Sudi na Shada ni wanafunzi ambao wanasoma katika gredi ya tatu. Wanasoma kwa bidii ili kufanya kazi mbalimbali. Je, Sudi na Shada wanataka kufanya kazi zipi maishani? Fikra zao kuhusu kazi hizi ni zipi?
-
KSh300 Original price was: KSh300.KSh235Current price is: KSh235.
Sudi na Shada wanakuwa vielelezo vya wazalendo. Kwa wanafunzi wenzao, wanaonesha maana na manufaa ya uzalendo. Je, Sudi na Shada wanafanya nini kiasi cha kuwa mfano wa kuigwa? Hadithi Mufti za
-
KSh300 Original price was: KSh300.KSh235Current price is: KSh235.
Sudi na Shada ni wanafunzi wa gredi ya tatu. Wakati wa sherehe shuleni kwao, wazazi wote wanavutiwa na mienendo yao. Mgeni wa heshima anawatambua na kuwatuza. Je, Sudi na Shada wamefanya nini kiasi cha
-
KSh1,270 Original price was: KSh1,270.KSh1,200Current price is: KSh1,200.
End of content
End of content