Mapambazuko ya Machweo na Hadithi – Set Book
KSh544.00 Original price was: KSh544.00.KSh490.00Current price is: KSh490.00.
ISBN: 9789914987195
Related products
-
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi – Set Book
KSh544.00Original price was: KSh544.00.KSh490.00Current price is: KSh490.00.Add to cartMapambazuko ya Machweo na Hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi wa kipekee kwani umewashirikisha waandishi wenye tajriba pevu katika fani ya uandishi na kuwapa nafasi waandishi wachanga katika tasnia ya uandishi wa kifasihi. Waandishi waliochangia katika mkusanyiko huu wameonyesha ubunifu mkubwa kwa kusawiri uhalisia wa maisha katika mazingira yao tofauti.
Suala la uhalisia wa maisha na mwingiliano wake na fasihi haliwezi kupuuzwa kwani fasihi ni kioo cha jamii.
Mkusanyiko huu una hadithi zenye maudhui mbalimbali na zinazosheheni migogoro itakayowafikirisha wasomoji. Hali kadhalika, huu ni mkusanyiko wa kwanza wa hadithi fupi kuwahi kuchapishwa ulio na idadi karibu sawa ya waandishi wa kike na wa kiume.
ISBN:9789914987195
-
The Samaritan-Setbook by John Lara
KSh522.00Original price was: KSh522.00.KSh470.00Current price is: KSh470.00.Add to cartThe Samaritan tells the story of two students in maracas municipality who develop a mobile App called The Samaritan-an online platform for whistleblowing as well as sharing ideas and information enhancing public welfare.Soon,the App is flooded with damning information about the unparalleled corruption,malfeasance,and political capture perpetrated by Maracas municipal leader.
ISBN: 9789966657534
-
Storymoja Giza la Muda by Storymoja
KSh533.00Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartNana anahudhuria sherehe ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa rafiki yake wa chanda na pete, Judi. Huko, anakutana na mwigizaji maarufu ambaye ameigiza kama mhusika mkuu katika kipindi cha runinga kinachowalenga vijana. Papo hapo, Nana anapiga urafiki na mvulana huyo maarufu; urafiki ambao unaishia kuwa majuto.
Giza la Muda ni hadithi inayoangazia changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana katika jamii na jinsi ya kukabiliana nazo. Changamoto hizo ni kama vile ushawishi wa marika na mimba za mapema.
ISBN: 9789966623638
-
Shani katika njia panda by Story Moja
KSh500.00Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartShani anakumbwa na furaha ya kupindukia rafiki yake, Jaki, anapomchagua kuandamana naye hadi Afrika Kusini.
Mjomba wa Jaki anajitolea kugharamia ziara hiyo. Hata hivyo, mamake Shani anashuku nia ya Mjomba kumpeleka mwanawe
Afrika Kusini. Mama anajaribu kumshawishi Shani kupuuza pendekezo hilo kwa kumwekea vikwazo. Shani aliye na hamu kuu
kwenda ughaibuni anakwea vikwazo vyote hadi mzazi wake anamkubalia kwenda Afrika Kusini. Mbona Mama Shani anashuku
ukarimu wa Mjomba? Soma hadithi ufumbue fumbo.ISBN: 9789966066800
-
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi – Set Book
KSh544.00Original price was: KSh544.00.KSh490.00Current price is: KSh490.00.








Reviews
There are no reviews yet.