Mgeni Njoo 2D
Original price was: KSh278.KSh250Current price is: KSh250.ISBN: 9780195734539
Showing 1121–1140 of 2090 results
ISBN: 9780195734539
Mgeni njoo!’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Kwanza katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi. Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, tanakali za sauti, kichekesho na picha za rangi zenye…
Riwaya “Mhanga Nafsi Yangu” ambayo kwa hakika, ina uketo wa lugha na maudhui ambayo kwa kweli yanadhihirisha hali halisi ya maisha ya binadamu. ISBN: 9966361537
Moran Graded Reader Level 5
Michael overcomes various obstacles, such as an encounter with the devil.
Worldreader presents this e-book in a new series showcasing fiction from Sub-Saharan Africa. Are you a worldreader? Read more about this not-for-profit social enterprise at worldreader.org.
ISBN: 9789966344328
Sule ni mwanafunzi wa Darasa la PiLi. Yeye anapenda masomo. Sule pia anapenda kucheza. Sule na marafiki wake wanacheza pamoja. Wao wanacheza michezo mbalimbali. Sule na marafiki wanacheza wakiwa shuleni na hata nyumbani. Je, ni michezo ipi ambayo Sule na marafiki wake wanacheza? ISBN: 9789966342303
Mikosi na Heri ni mkusanyiko wa hadithi saba zenye mafunzo bora maishani. Kitabu hiki kinawalenga wanafunzi wa darasa la sita. Baadhi ya mada ambazo zimezingatiwa na mwandishi ni utiifu, uadilifu, kusema ukweli kila mara, busara maishani na mengineyo. Msomaji wa hadithi hizi pia atapata fursa ya kujifunza lugha ya Kiswahili kwa urahisi. ISBN: 2010143000044
Miladi na Rangi ni kitabu cha hadithi kilichoandikwa kulingana na utaratibu na mwongozo wa silabasi ya mtalaa mpya wa umilisi (CBC). Kitabu hiki kitaweka msingi mkubwa wa ubunifu kwa msomaji wa gredi za awali licha ya kuulea ufasaha wake katika lugha tukufu ya Kiswahil
Teach your child social graces from a young age so that good manners become a life-long habit. Introduce courteous phrases to your child by describing them as magic words that have the power to influence people’s behaviour. Prompt your child to use the magic words covered in this book. These include: good morning, please, sorry,…
Ali is struck by polio soon after he is born. The doctor’s verdict is that he will never walk. His parents are devastated. Is All going to end up a beggar like’ many physically challenged children they have seen? But All has his own ambitions. Even though confined to a wheelchair, he has big dreams about succeeding in football. This wonderful story is about Ali and the challenges he has to overcome to realize his goal.
Ng’ang’a Mbugua is a respected journalist and writer. He has written and published acclaimed works of fiction and is a Two-time winner of theJomo Kenyatta Literature Prize.
ISBN: 9789966075680
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. The storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting…
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. There are twelve storybooks for each class specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the child has fun that’s built to last.
ISBN: 9780195734294
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. There are ten readers for each class with each specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed…
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. There are ten readers for each class with each specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun that’s built to last.
ISBN: 9780195729283
Daktari Jemima aliisoma barua hiyo. Muda wote huo, Herina alikuwa anamtazama tu. Aliona macho ya Jemima yakitua kwenye neno fulani na kumtazama, ila hakujishughulisha kuhusu mtazamo huo. Alimaliza kusoma barua hiyo na kushusha pumzi. Alimtazama Herina, kisha Jeff na hatimaye ile barua. Herina aliona vipira vya machozi vikijitokeza machoni mwa mwajiri wake. Hata hivyo, kwenye…
Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii. Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Pili na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia…
ISBN: 9780195747331
Tajriba yangu imenifundisha kuwa kila binadamu ni mlemavu, lakini ulemavu si kutojiweza. Kila binadamu ana uwezo fulani ambao unahitaji kutambuliwa na kurutubishwa. ‘Ulemavu pekee niujuao ni wa fikra na mielekeo hasi; si wa maumbile …’ Mwandishi, Godfrey Ipalei, alizaliwa mikono yote miwili ikiwa nusunusu. Licha ya hayo, amesoma katika shule za kawaida hadi chuo kikuu…
ISBN: 9789966344144
End of content
End of content
Don't have an account yet? Sign up
No items in your cart. Go on, fill it up with something you love!
Start Shopping Now