KSh650Original price was: KSh650.KSh610Current price is: KSh610.
Ni vipi mtoto mdogo kama Sandra anafahamu maneno kama hayo? Tena maneno ambayo si ya Kiswahili, si ya Kiingereza, si ya lugha za kigeni au za kiasili. Yanatoka wapi? Ni nani waasisi wake? Mzee Jarida alijiuliza baada ya kumsikia mjukuu wake akizungumza. Maswali hayo yalipita akilini mwake haraka na kukaribisha fikra nyingi. ‘Mbona Hivi?’ ni…
KSh322Original price was: KSh322.KSh290Current price is: KSh290.
Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii. Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Pili na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia…
KSh300Original price was: KSh300.KSh270Current price is: KSh270.
Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun that’s built to last.
Other titles for Class Four
4a Mister Todi
4b Ken Karo the Champion
4c A Shocking Landing
4d Moto Farm
4e No Escape
4f Giver her a chance
4g The King of all fish
4h A for AIDS
4j The new boy
4k Caught in the wax
41 Home at Last!
4m Jaribu’s choice
KSh300Original price was: KSh300.KSh270Current price is: KSh270.
Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun that’s built to last. Other titles for Class Four 4a Mister Todi 4b Ken Karo the Champion 4c A Shocking Landing 4d Moto Farm 4e No Escape 4f…
KSh350Original price was: KSh350.KSh270Current price is: KSh270.
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. The storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting…
KSh500Original price was: KSh500.KSh450Current price is: KSh450.
MSURURU WA STADI ZA MAISHA WA STORYMOJA Yusufu Miremba ni mwanafunzi mwenye umri wa miaka kumi na miwili nchini Uganda. Mpango wa wanafunzi kuandikiana barua unaanzishwa baina ya shule yao na nyingine nchini Sri Lanka. Kupitia kwa mpango huo, Yusufu anapiga urafiki na Nimara de Silva kwa njia ya kuandikiana barua Genge la wanamgambo linamteka…
KSh300Original price was: KSh300.KSh215Current price is: KSh215.
Tumpare has a tree house that looks like an aeroplane. She dreams of being a pilot one day. One night, Tumpare, and her friend, Ciku, see thieves stealing from their parents house. The two girls decide to report the theft to the police. Unfortunately, the two girls are kidnapped by the thieves and locked in…
KSh650Original price was: KSh650.KSh610Current price is: KSh610.
‘Tunu ya Ushairi’ ni mkusanyo wa mashairi ya aina, maudhui na mitindo mbalimbali. Kuna mashairi arudhi, mashairi huru na mashairi picha. Diwani hii ina mashairi ambayo msomaji atajihusisha nayo kwa njia rahisi. Ujumbe wake unapitishwa kwa njia sahili na yenye mguso unaoiacha athari ya kudumu kwa msomaji. Washairi hawakujikita katika mikondo iliyopo tu; wamezuka na…
KSh327Original price was: KSh327.KSh295Current price is: KSh295.
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. There are ten readers for each class specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course.
Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun that’s built to last.
KSh500Original price was: KSh500.KSh450Current price is: KSh450.
Ili kuteuwa kiongozi mpya, simba mzee anawapa kiboko, kifaru na ndovu mtihani tata. Kila mmoja anataka kuwa mshindi na kuteuliwa kiongozi wa jangwani. Nani atashinda ISBN: 9789966620613
KSh466Original price was: KSh466.KSh420Current price is: KSh420.
Wanafunzi wa darasa la nne wanatembelea mbuga ya wanyama ya Nairobi. Wanaelezwa mengi kuhusu wanyamapori na wawindaji haramu. Hata hivyo, wnavutiwa na kuburudishwa zaidi na vituko vya tumbiri mcheshi. Wanaondoka wakimjadili tumbiri huyo mwenye tabia zinazofanana na binadamu
KSh450Original price was: KSh450.KSh385Current price is: KSh385.
Tumalize anashangazwa na hatua ya baba yake kuwapa kitu fulani, watu fulani, kila siku asubuhi anapoenda shuleni. Kitendo cha baba yake kinamtia mshawasha wa kutaka kujua ni kitu gani hicho wanachopewa watu wale. Juhudi zake za kutafuta maelezo kutoka kwa baba yake kuhusu kitu hicho na sababu ya yeye kukitoa kwa watu wale zinagonga mwamba….