KLB Visionary Kiswahili Mwanafunzi Grade 4 by KLB
KSh466.00 Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya Nne (Kitabu cha Mwanafunzi) kimechapishwa kwa kusudi la kuendelea kuimarisha uwezo wa mwanafunzi katika lugha ya Kiswahili kupitia Sarufi na stadi za lugha; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika
ISBN: 9789966655646
Related products
-
Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Grade 4 (Approved)
KSh583.00Original price was: KSh583.00.KSh525.00Current price is: KSh525.00.Add to cartKurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya Nne kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu mtaala huu unaolenga umilisi kwa nijia sahili, yenye mvuto na ya kumjumuisha moja kwa moja kwenye shughuli za ujifunzaji.
Kitabu hiki:
* Kimeshughulikia mada kwa namna ambayo inamwezesha mwanafunzi kushiriki kikamilifu katika ujifunzaji.
* Mada na shughuli za ujifunzaji zimeteuliwa kwa uangalifu ili kumjengea mwanafunzi umilisi wa aina mbalimbali.
* Kina mazoezi na mijarabu anuwai ya kumtathmini mwanafunzi.
* Kina picha halisi na michoro ya kuvutia inayosaidia katika uelewa wa mada.
* Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia vifaa vya teknolojia kama vile video, redio na tabuleti katika kurahisisha ujifunzaji.
* Mbinu tofauti za ujifunzaji zimejumuishwa kama vile kazi mradi, shughuli nje ya darasa, kumwalika mgeni, kutumia nyimbo, mashairi, kumhusisha mzazi au mlezi, uchoraji na ujifunzaji katika vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kuujenga umilisi wa mwanafunzi.
* Mada na shughuli za ujifunzaji zimeshughulikia masuala mtambuko na kumsisitizia mwanafunzi maadili.
* Kitebu cha mwalimu kipo ili kumpa mapendekezo katika ufunzaji.
ISBN: 9789966572165
-
OUP Everyday Home Science Grade 4 (Approved) by Njoroge
KSh517.00Original price was: KSh517.00.KSh465.00Current price is: KSh465.00.Add to cartveryday Home Science is a new series for the new Competency-Based Curriculum. It is specially written to provide practical experiences that equip learners with the basic knowledge, skills and attitudes that promote a happy and healthy lifestyle. The books in the series provide a range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at enabling learners to acquire the core competencies, values, and pertinent and contemporary issues (PCIs).
ISBN: 9780195747942
-
OUP Kiswahili Dadisi GD4 Wkbk by Oxford
KSh517.00Original price was: KSh517.00.KSh465.00Current price is: KSh465.00.Add to cartKiswahili Dadisi Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa mpya wa Umilisi.
Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata
umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya
mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka. Kitabu hiki:
• kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtalaa
• kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezesha mwanafunzi kujenga na kupanua umilisi katika kila mada.
• kina tathmini ya binafsi ambayo itamsaidia mwanafunzi kukadiria umilisi wake katika
mada ndogo zote.
Majibu ya mazoezi katika vitabu vyote vya Gredi ya Nne yanapatikana katika kitabu kimoja.ISBN: 9780195748758
-
OUP Let’s Do Mathematics GD4 Wkbk by Oxford
KSh517.00Original price was: KSh517.00.KSh465.00Current price is: KSh465.00.Add to cartLet’s Do Mathematics Workbook is a unique fun-filled series that comprehensively covers the new Competency-based Curriculum.
Each book in the series is well-researched and skillfully written to aid acquisition of the core competencies, skills,
values and attitudes. This workbook offers:
• step-by-step examples to help the learners easily acquire Mathematics skills
• graded practice exercises to take care of learners of different learning abilities
• numerous practical activities to enhance the acquisition of skills.
A combined answer book is available for the Grade 4 workbooks.ISBN: 9780195748697
-
OUP Growing in Christ CRE Grade 4 (Approved) by Onyango
KSh517.00Original price was: KSh517.00.KSh465.00Current price is: KSh465.00.Add to carthe Growing in Christ series is specially written to provide practical experiences that will build the learners’ knowledge and understanding of the Christian faith, as well as equip them with values, skills and attitudes that will assist them live well with self and others. Books in the series have a range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at acquisition and appreciation of the core competencies, values, and pertinent and contemporary issues.
Growing in Christ CRE Grade Four provides:
* Content that is structured according to the curriculum design.
* Activities that present real-life situations where learners can solve problems through creativity and critical thinking.
* School activities that enhance learning outside of the classroom, but within the school community.
* Home and community activities that enhance learning at home and in the community.
* Fun spots that make learning fun and exciting through songs, poems and much more.
ISBN: 9780195747904








Reviews
There are no reviews yet.