HATUA ZA KISWAHILI RASMI GREDI 1
Original price was: KSh700.00.KSh605.00Current price is: KSh605.00.
HATUA ZA KISWAHILI RASMI GREDI 1
Hatua za Kiswahili Rasmi Gredi ya 1 ni kitabu cha mwanafunzi kilichoandikwa kwa kufuata mtaala mpya unaosisitiza umilisi. Kinasaidia kukuza stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma, kuandika, na sarufi kupitia picha za kuvutia, maswali ya kuchochea fikra, kazi za makundi, miradi ya nyumbani, na matumizi ya teknolojia.







Reviews
There are no reviews yet.