Haki ya Ruto by Mutuku
Original price was: KSh225.00.KSh203.00Current price is: KSh203.00.
Haki ya Ruto
by Mutuku
Mzee Tamaa alisikia sauti ya Mwalimu Rose. Atitoka alikokuwa ameketi na kuwakaribia Ruto na Mwalimu Rose. “Wewe ni nani na unafanya nini hapa kwangu?” Mzee Tamaa alimwuliza Mwalimui Rose kwa ukali. “Naitwa Mwalimu Rose na Ruto ni mwanafunzi wangu,” Mwalimu Rose alijibu kwa upole. Je, Ruto atapata haki?
ISBN: 9789966341853
Reviews
There are no reviews yet.