Distinction Kipeo Cha Kiswahili Grade 6
Original price was: KSh866.00.KSh780.00Current price is: KSh780.00.
Distinction Kipeo cha Kiswahili Grade 6 ni kitabu kilichobuniwa kwa mtazamo wa Mtaala wa Umilisi (CBC) ili kukuza stadi kuu za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika miongoni mwa wanafunzi wa Gredi ya 6. Kina maudhui yanayohusiana na mazingira ya mwanafunzi, shughuli bunifu za darasani na tathmini fupi zinazosaidia kujipima, na hivyo kuwapa wanafunzi msingi thabiti wa matumizi fasaha ya Kiswahili ndani na nje ya darasa.







Reviews
There are no reviews yet.