Wimbo wa nungunungu 3a
KSh315.00
Kifoto alisimama hapo njiani. Alitazama upande wa chini wa njia, alimwona mtu fulani akitokea. Mtu huyo alikuwa mwanamume. Mwanamume huyo alikining’iniza kitu cheusi mkononi. Kifoto alirudi upande wa ndani wa boma lao. Alijificha katika ua uliokuwa kwenye ukingo wa njia. alitaka kujua mtu aliyemwona alikuwa nani na alikuwa amebeba nini.
Kifoto alitazama kwa makini njiani. mwanamume aliyemwona,alipanda polepole na mzigo wake, alifika karibu na mahali alipojificha Kifoto. Alipopita, Kifoto hakuamini macho yake…
ISBN: 9789966347503
Reviews
There are no reviews yet.