Ndoto Timilifu by Yahya
Original price was: KSh422.00.KSh380.00Current price is: KSh380.00.
amasa ya kutenda jambo ina msukumo mkubwa ambao aghalabu hushinda vizuizi vyovyote vile. Ari ya Bahati kuwa mwanahabari siku moja ilikuwa imara kama boriti licha ya changamoto nyingi alizokumbana nazo.
Upinzani aliokabiliana nao ulitoka kwa baba yake na jamii yake kwa jumia. Bahati, hata hivyo, yu tayari kufanya lolote ili apate elimu itakayomwezesha kutimiza ndoto yake. Je, ndoto ya Bahati ya kuwa mwanahabari itatimia?
ISBN:9789966342294
Reviews
There are no reviews yet.