Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Kamusi ya Karne ya 21 by Longhorn

Original price was: KSh1,388.00.Current price is: KSh1,250.00.

Kamusi ya Karne ya 21(Toleo la 4) ni kamusi ya Kiswahili yenye uketo zaidi katika karne hii. Imetungwa kwa ustadi wa hali ya juu na wanaleksikografia wenye utaalamu na uzoefu wa uundaji wa kamusi. Ni kamusi inayojivunia upekee unaodhihirisha jinsi lugha ya Kiswahili inavyokwenda na wakati kwa kupanuka katika matumizi yake katika pembe zote za dunia. Toleo hili limeongezwa vidahizovipya zaidi ya 2500 ambavyo vinaashiria maendeleo mapya katika lugha ya Kiswahili. Kamusi hii inaonyesha ukuaji wa Kiswahili na matumizi yake katika nyanja zote za Siasa, Sayansi, Teknolojia ya kidijitali, mitandao ya kijamii, ubadilishanaji wa fedha na bidhaa kupitia kwa mifumo ya kimtandao miongoni mwa mengine.

ISBN: 9789987020973

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kamusi ya Karne ya 21 by Longhorn”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Now Button