Moses the Camper by Barbara Kimenye
KSh544.00 Original price was: KSh544.00.KSh490.00Current price is: KSh490.00.
ISBN: 9780195738544
Related products
-
Ushindi wa Kironje na hadithi nyingine
KSh322.00Original price was: KSh322.00.KSh290.00Current price is: KSh290.00.Add to cartHuu ni mkusanyiko wa hadithi kumi na mbili, zenye mafunzo sufufu katika jamii ya leo. Ni hadithi ambazo zitakufanya uache kula pilau kwa samaki ili uzisome kwanza! utakapokuwa ukizisoma, zitakufanya usahau ulikuwa na mlo mezani kutokana na ucheshi uliomo. Hadithi hizi zinanuia kuwafundisha wanafunzi maadili ili wajenge mustakabali.
ISBN: 9789966140029
-
Siri ya baba yangu kitabu cha kwanza by Yahya Mutuku
KSh355.00Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartNi wakati wa usiku, usiku wa mashetani wakati kijana Fadhili anapozinduka na kumfumania baba yake akiufunga mlango wa chumba chake. Ni baba anayetekeleza mpango wa siri asiofaa kuujua Fadhili.
Fadhili anaamua kukitegua kitendawili cha tukio hilo kwa kujiingiza katika hatari zisizo kifani. Hii ni mojawapo ya hadithi ambayo imefumwa ikafumika mfumo ambao utamshangaza yeyote atakayeisoma.ISBN: 9789966075604
-
Mti wa Ajabu by Nyambura Mpesha
KSh228.00Original price was: KSh228.00.KSh205.00Current price is: KSh205.00.Add to cartKatika nchi ya Tofali, paliondokea mti ambao ulishangaza kila mtu. Alfajiri, majani ya mti huo yaligeuka rangi na kuwa ya buluu, mchana yakawa ya kijani, alasiri yakawa njano, jioni yakawa ya hudhurungi na meusi usiku. Jinsi mti huo ulivyokua kwa kimo, ndivyo ulivyopanuka. Mti huo ulitisha. Hakuna mtu aliyethubutu kuukaribia.Siku moja vijana wawili wakakamavu waliamua kuukaribia. Je, waliangamizwa na mti huo wa ajabu au walirudi kijijini wakiwa wazima?
ISBN: 9789966342508
-
Mchongoma 3b by Moran
KSh328.00Original price was: KSh328.00.KSh295.00Current price is: KSh295.00.Add to cartTuliondoka pale maziarani, mama akiwa mbele yetu kuongoza rubaa hadi kiamboni.Nilimtazama alivyotembea. Alikuwa mnyonge, gofu la mtu, kabaki mitulinga ,nyonga na fuvu la kichwa. Alikuwa mnyonge mfano wa sabatele changaraweni. Tulitembea guu bandika guu bandua. Kimya. Unywele ungalianguka, ungaliusika
Siku hii naikumbuka kama jina langu…..
ISBN : 9789966342355
-
Siku za Juma 1a by Nyakeri
KSh225.00Original price was: KSh225.00.KSh203.00Current price is: KSh203.00.Add to cartJuma na Maria ni wanafunzi wa darasa la kwanza. Wao hufanya mambo mbalimbali kila siku. Mambo ambayo wanafanya nyumbani ni tofauti na mambo wanayofanya shuleni. Soma kitabu hiki. Utajua ni mambo gani Juma na Maria wanafanya.
ISBN: 9789966342478
Reviews
There are no reviews yet.