Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Majasusi chipukizi 3a

KSh315.00

Malaika na Baraka wamezoea kumwona ombaomba mbele ya duka la Bwana Pembe kila wanapopita hapo. Wenyeji hawajui jina halisi
la ombaomba huyo kwa hivyo wamembandika jina ‘Masumbuko’. Asubuhi moja, Malaika na Baraka wanamwona Masumbuko akiwa amejiku
nyata kama kuku aliyenyeshewa. Wanapomdadisi, anawaambia kuwa alivamiwa na chokora. Wanamshawishi baba yao, ambaye ni daktari,
amsaidie Masumbuko apate matibabu ya bure. Masumbuko anasitasita anapoambiwa wazo hilo la kutibiwa. Je, kulikoni? Hali hii
inawachochea Malaika na Baraka kufanya uchunguzi ili kufumbua asili yake Masumbuko. Je, watafaulu?

ISBN: 9789966347978

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Majasusi chipukizi 3a”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Now Button