Hujafa Hujaumbika by Kagwa
Mwanga, almaarufu ‘Fumo’, ni kijana mdogo ambaye hana hakika na asili wala fasili yake. Yeye ni msi baba, msi mama. Anachokifahamu ni kwamba ‘aliokotwa’ kutoka katika makao ya mayatima. Licha ya kuwa yeye ni kiokote, mtezi wake anampa kila kinachostahili kwa mtoto mwenye wazazi wote.
Hali inapoonekana kutakata, msiba baada ya msiba unabisha. Mlezi wake wa pekee ambaye anamjua kama ‘mama’ anapigwa kalamu. Nyumba yao inauzwa kwa wenye nacho. ‘Dada yake’ Fumo ananajisiwa na kubaki hali mahututi katika mshikemshike wa kufurushwa kutoka kwa nyumba yao na wahuni watioletwa na mmiliki mpya. Baadaye, mlezi wa Mwanga anafunguliwa mashtaka ya kusingiziwa ili asiweze kufuata kesi ya kufutwa au kufurushwa kutoka kwa nyumba yake. Mwanga na ‘familia’ yake wanajipata katika mitaa ya vitongoji duni. Choo ni cha “kurusha fataki” na bafu ni upenuni. Hamna stara tena!
Akiwa shuleni, Mwanga anafanya bidii ya mchwa na kupita vyema, lakini mikosi bado haimwachi akapumua. Huku akicheza na watoto wengine, anajipata amekanyaga kilipuzi na kupoteza mguu wake. Lakini bidii yake na kudura za Mwenyezi Mungu vinamwezesha kuwa mwanasheria nguli. Azma yake sasa ni kutetea haki licha ya kilema chake. Kumbe kufa si kufariki, kufa ni kuoza utumbo!
Hii ni riwaya ya kusisimua yenye kutia matumaini katika jamii iliyotamauka kutokana na matatizo mengi yanayoletwa na ufisadi na kupotoka kwa maadili.
ISBN: 9789966315687
- Estimated Delivery : Up to 4 business days
- Free Shipping & Returns : On all orders over $200
Be the first to review “Hujafa Hujaumbika by Kagwa”
Shipping policy
At our Company, we understand the importance of timely delivery. We offer a variety of shipping options to suit your needs, including standard, expedited, and express shipping. Our dedicated team works diligently to process and dispatch your orders promptly, aiming to deliver them to your doorstep within the estimated timeframe.
We strive to provide fast and reliable shipping to our customers. Here’s everything you need to know about our shipping process:
- Dispatch: Within 24 Hours
- Free shipping across all products on a minimum purchase of $99.
- International delivery time 5 to 7 business days
- Cash on delivery might be available
- Easy 30 days returns and exchanges
Please note that delivery times are estimates and may vary depending on factors such as product availability, destination, and carrier delay
Returns policy
We want you to be completely satisfied with your purchase from our website. If for any reason you are not entirely happy with your order, we’re here to help. Certain exclusions and conditions may apply, so we encourage you to review our detailed return policy for more information. Rest assured, our goal is to ensure your complete satisfaction with every purchase you make from our website
- Returned items must be unused, undamaged, and in the same condition as received.
- Original tags, labels, and packaging must be intact and included with the returned item.
- Proof of purchase, such as your order confirmation or receipt, is required for all returns.
















Reviews
There are no reviews yet.