Gundi Langoni 6 by Bracey
Original price was: KSh311.00.KSh280.00Current price is: KSh280.00.
Hadithi Sisimka ni msururu wa hadithi za watoto zilizoandikwa kwa lugha nyepesi na msamiati uliodhibitiwa ili kuwafaa watoto. Hadithi hizi zinawavutia wasomaji wachanga na ni msingi thabiti kwao katika kujenga uraibu wa kusoma. Mwongoza wa Mwalimu Kitabu hiki chenye michoro katika msururu wa Hadithi Sisimka kinatoa mwongozo kwa maelezo kama nyongeza ili kusaidia kusoma na kuelewa mbinu za kimsingi za utamhuzi na uelewaji wa maneno na watoto kupitia matendo yao mbalimbali
ISBN: 9966363769
Reviews
There are no reviews yet.