Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Damu ya Simba

KSh380.00

SIMULIZI ZA KUFURAHISHA ZINAZOFUNDISHA MAISHA YA MAISHA

Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 6-7 (Gredi 1&2). Ni kitabu kinachofundisha watoto daima kuwa na imani ya kibinafsi kushinda woga.

Bata Kwekwe ni mwoga wa kupindukia hadi wenzake wanamdhihaki, anapotumwa na mamaye shambani, mabata wenzake wanamzuia njiani na kumnyang’anya kikapu. Anatoroka na kukutana na Nyoka jasiri. Je, Nyoka anamsaidia vipi kuibua sifa ya ujasiri?

ISBN: 9789966621207

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Damu ya Simba”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Now Button