KSh500Original price was: KSh500.KSh485Current price is: KSh485.
Hii ni novela inayoteka nadhari ya msomaji kwa msuko wake wa kipekee. Kupitia riwaya hii, mwandishi anahimiza umuhimu wa kusamehe. Anawakejeli wanajamii wanaoendeleza chuki, kinyongo, kisasi, choyo na usiri – ingawa anasema zipo siri zinazowekwa ili kumlinda mtu.
KSh300Original price was: KSh300.KSh250Current price is: KSh250.
Si kupenda kwake 3b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Tatu katika shule za msingi. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi ya hadithi. Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mzaha, hotuba na sentensi…
KSh278Original price was: KSh278.KSh250Current price is: KSh250.
Si kupenda kwake 3b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Tatu katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
Masimulizi rahisi ya hadithi.
Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mzaha, hotuba na sentensi fupifupi.
Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya uadilifu shuleni na kuwahurumia na kushirikiana na wenye upungufu.
Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu. Vitabu vingine katika kiwango hiki ni:
KSh250Original price was: KSh250.KSh220Current price is: KSh220.
Sifuri amechoshwa na mazingira katika bustani ya Zoo ambako wanyama mbalimbali wamehifadhiwa ili kuepushwa na makali ya ukame unaojiri. Anaomba ruhusa ya kwenda mjini kutembea. Je, ziara yake itakuwa ya mafanikio? Soma hadithi kwa vioja anavyovifanya Sifuri mjini! Bitugi Matundura ni mwalimu katika Chuo Kikuu cha Chuka. Uraibu wake ni kuwaandikia watoto. Ameandika vitabu vingi,…
KSh330Original price was: KSh330.KSh295Current price is: KSh295.
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. The storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now…
KSh327Original price was: KSh327.KSh295Current price is: KSh295.
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. There are ten readers for each class with each specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern pupil an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun that’s built to last.
KSh750Original price was: KSh750.KSh650Current price is: KSh650.
Siku Njema is a popular Swahili novel written by the renowned Kenyan author, Ken Walibora. The novel was published in 1996 and saw Walibora become an instant household name in Swahili fiction. Written in the first person, the book deals with the life of a young man, Msanifu Kombo who is born in Tanga, Tanzania…
KSh300Original price was: KSh300.KSh280Current price is: KSh280.
Upepo ni mkali leo.Mama anawaambia Adili,Pesi na Zani wasichezee mbali na nyumbani.Baadaye,upepo unapungua.Adili anawaambia Zani na Pesi waende shambani akawaonyeshe mchezo wa bembea.Unafika wakati wa Pesi kubembea.Anapoanza,upepo wenye nguvu unakuja.Je, ni hatari gani itampata Pesi?
KSh225Original price was: KSh225.KSh203Current price is: KSh203.
Juma na Maria ni wanafunzi wa darasa la kwanza. Wao hufanya mambo mbalimbali kila siku. Mambo ambayo wanafanya nyumbani ni tofauti na mambo wanayofanya shuleni. Soma kitabu hiki. Utajua ni mambo gani Juma na Maria wanafanya.
KSh650Original price was: KSh650.KSh500Current price is: KSh500.
In a world where tradition often stifles dreams, Neelai, a young girl from a small village, dares to defy the odds. Faced with the looming threat of early marriage and harmful customs. she embarks on a journey of resilience ad empowerment. With the guidance of her mentor, Aunty Wanja, Neelai transforms her struggles into a…
KSh400Original price was: KSh400.KSh320Current price is: KSh320.
Simba Mwanadamu ni_hadithi ya kumsisimua, kumchekesha na kumburudisha msomaji. Ni hadithi inayodhihirisha ukweli wa methali kuwa njia ya mwongo ni fupi. Aidha, hadithi hii inatoa funzo kwa msomaji kuwa hila zina mwisho wake ambao si mzuri. Hadithi hii ni mojawapo ya hadithi katika mkusanyiko wa hadithi zenye uwezo wa kumgandisha msomaji kwenye kiti akisoma tena…