Showing 2081–2086 of 2086 results

  • Zawadi Ya Thamani

    Zawadi Ya Thamani

    0 out of 5

    Kadiri anaingiwa na wasiwasi kutokana na mabadiliko katika tabia ya rafiki yake. Anashangaa anapomwona rafiki yake akitoweka kama moshi baada ya masomo ya kila siku kuisha. Kitendo cha rafiki yake kinamtia ari ya kutaka kufahamu ni kitu gani kinachomtoa mwenzake mbio. Juhudi zake za kutaka kujua anakoenda rafiki yake wakati wa mazoezi ya karate yanaambulia…

  • Product on sale
    Zeruzeru Shujaa wa Kijiji na Hadithi Nyingine lvl 6 (Queenex)

    Zeruzeru Shujaa wa Kijiji na Hadithi Nyingine lvl 6 (Queenex)

    0 out of 5
    Original price was: KSh450.Current price is: KSh350.

    Zeruzeru Shujaa wa Kijiji ni hadithi inayoonesha ushujaa na ujasiri wa aina yake. Hadithi hii inaonesha jinsi mvulana zeruzeru anavyoisaidia jamii yake kutatua tatizo la miaka na mikaka. Ni hadithi inayodhihirisha ukweli kuwa japo wanadamu tunaweza kuwa na tofauti za kimaumbile, tuna uwezo sawa.

  • Product on sale
    Ziara ya Meno by Zawadi

    Ziara ya Meno by Zawadi

    0 out of 5
    Original price was: KSh211.Current price is: KSh190.

    Ziara ya Meno Siku ya Meno ni hadithi ya pili katika msururu wa “Mazingira na Afya’.
    Kitabu hiki kinashughulikia usafi na afya ya meno. Lengo hili limetimizwa kupitia safari ya akina Baraka na Zawadi.
    Njia za kutunza meno na athari za kutoyatunza zimewekwa wazi kupitia majadiliano baina ya wahusika.
    Je, wahusika wananufaika mwisho wa kikao?

    ISBN: 9789966788849

  • Product on sale
    Zimwi La Leo

    Zimwi La Leo

    0 out of 5
    Original price was: KSh365.Current price is: KSh265.
  • Product on sale
    Ziro, Rafiki Mnafik

    Ziro, Rafiki Mnafik

    0 out of 5
    Original price was: KSh400.Current price is: KSh350.
  • Product on sale
    Zuhura na Zahara lvl 6 (Queenex)

    Zuhura na Zahara lvl 6 (Queenex)

    0 out of 5
    Original price was: KSh400.Current price is: KSh320.

    Zuhura na Zahara ni pacha wanaofanana kama shilingi kwa ya pili. Wamelelewa kwa heshima na taadhima na wazazi wao lakini tabia zao hazilingani hata kidogo. Mwana wa mfalme aitwaye Chaka ni mgonjwa na hali yake ni mahututi. Ni lazima binti mmoja katika milki ya Tunu aipate dawa hiyo adimu ili mwana wa mfalme apone. Je,…

End of content

End of content