Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

EAEP Kiswahili Angaza Kitabu cha Mazoezi Grade 5 by M. Banda na S. Otieno

Original price was: KSh566.00.Current price is: KSh510.00.

Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mazoezi, Gredi ya 5 ni kitabu kilichoandikwa kwa ubunifu ili kuimarisha maarifa ya mwanafunzi kupitia mazoezi. Mazoezi kwenye kitabu hiki yamewasilisha kikamilifu mahitaji ya Mtalaa wa Umilisi. Mazoezi haya yatamwezesha mwanafunzi kukuza stadi zinazohitajika, maadili na kukabiliana na masuala mtambuko.
Kitabu hiki kimezingatia mambo sita muhimu katika ujifunzaji wa lugha:
• Mazoezi mbalimbali yanayopalilia na kushadidia umilisi wa mwanafunzi
• Kimeangazia stadi zote za kujifunza lugha ambazo ni: Kusikiliza, kuzungumza, Kusoma na kuandika.
• Picha ya muhtasari inayoeleza yale yatakayoshughulikiwa kwa kila stadi ya ujifunzaji.
• “Sasa ninajua’ na Jitathmini’ ambavyo ni vidokezo vya kujifunzia na kuimarisha umilisi baada ya mazoezi.
• Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.
• Picha zilizotumika zimechorwa vizuri na kikamilifu. Kila mada imeanza kwa picha ambayo inasisimua hamu ya mwanafunzi ya kujifunza.

Waandishi wa kitabu hiki ni wale wale waandishi wa vitabu maarufu uvipendavyo vya Kiswahili Angaza Gredi ya 1, 2, 3, 4 na 5, na wana uzoefu mkubwa na wamekiandika kitabu hiki kwa utaalamu mkuu.

ISBN: 9789966565792

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “EAEP Kiswahili Angaza Kitabu cha Mazoezi Grade 5 by M. Banda na S. Otieno”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!
Let's Chat

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Now Button