High Flyer Combined Encyclopaedia Grade 6 by High Flyer
KSh1,444.00 Original price was: KSh1,444.00.KSh1,300.00Current price is: KSh1,300.00.
ISBN: 9789966041654
Related products
-
Access Kiswahili Sahili Grade 6 (Approved)
KSh688.00Original price was: KSh688.00.KSh620.00Current price is: KSh620.00.Add to cartKiswahili sahili grade ya 6, ni kitabu kilichoandikwa kulingana na mtaala ya kiulimisi kitabu hiki kinashughuli kwa mwanafunzi pamoja na pichaza kutosha kumuwezesha kupata umilisi utakiwao.
-
OUP Kiswahili Dadisi Workbook Grade 6 by Oxford
KSh644.00Original price was: KSh644.00.KSh580.00Current price is: KSh580.00.Add to cartKiswahili Dadisi Workbook ni msururu wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa wa Umilisi. Kila kitabu katika msururu huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.
Kitabu hiki:
-kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtalaa
– kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezeshamwanafunzi kujenga na kupanua umiliskatika kila mada.
-kina dokezo ambazo zinatoa maelezo zaidi kuhusu vipengele lengwa.
-kina tathmini ya binafsi ambayo itamsaidia mwanafunzi kukadiria umilisi wake katika mada ndogo zote.
-kina majaribio ya mtihani wa mwisho wa elimu ya msingi.
ISBN: 9780195749700
-
Kiswahili Angaza Mwanafunzi Grade 6 (Approved)
KSh716.00Original price was: KSh716.00.KSh645.00Current price is: KSh645.00.Add to cartKiswahili Angaza, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 6 ni kitabu kilichotungwa na kusukwa kwa makini na kwa kina kirefu. Kitabu hiki kimetosheleza mahitaji yote ya mtaala waumilisi. Kinakuza umilisi uliopendekezwa kwenye mtaala, maadili na kufahamisha kuhusu masuala mtambuko. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kumfanya mwalimu awe mwelekezi tu wala si mtoaji wa elimu. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia kwa stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma,Kuandika na Sarufi.
-
Mentor Kielekezi Cha Kiswahili Gredi 6 (Approved)
KSh666.00Original price was: KSh666.00.KSh600.00Current price is: KSh600.00.Add to cartKielekezi cha Kiswahili Gredi ya 6 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa na kufikia matokeo maalumu yanayotarajiwa.
ISBN: 9789966012364
-
Modern Agriculture Learners Grade 6 (Approved)
KSh677.00Original price was: KSh677.00.KSh610.00Current price is: KSh610.00.
Reviews
There are no reviews yet.