Storymoja Know More Kiswahili Grade 3 (Approved)
Original price was: KSh394.00.KSh355.00Current price is: KSh355.00.
Know More Kiswahili Activities Kitabu cha Mwanafunzi wa Gredi 3 kimeandikwa kwa kuzingatia yaliyomo kwenye ruwaza ya mtaala mpya wa kiumilisi ili kumfaa mwanafunzi kutekeleza shughuli mbalimbali za ujifunzaji. Shughuli zilizopendekezwa katika kitabu hiki zitamwezesha mwanfunzi kuwa na umilisi wa stadi mbalimbali. Sifa zake kuu
• Vipengee vyote vya mada mbalimbali kwa mujibu wa ruwaza ya
mtaala mpya.
• Picha na michoro angavu kwa ajili ya kumwezesha mwanafunzi kuelewa matini.
• Shughuli tagusani kuhusu mada mbalimbali kwa mujibu wa ruwaza ya mtaala mpya.
• Uhusishaji wa shughuli za huduma za kijamii zinazochangia ujifunzaji.
• Ujumuishaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika shughuli za ufunzaji na ujifunzaji wa Kiswahili.
• Ushirikishaji wa wanafunzi wenye mahitaji maalum.
• Ujumuishaji wa masuala mtambuko katika shughuli za ujifunzaji.
Waandishi wa kitabu hiki ni walimu wenye tajriba pana katika ufundishaji wa Kiswahili katika kiwango cha shule za msingi.
ISBN: 9789966621481
Reviews
There are no reviews yet.