OUP Kiswahili Dadisi Grade 2 Workbook
Original price was: KSh467.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.
Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mtataa mpya wa umilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanofunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.
ISBN: 9780195747379
Reviews
There are no reviews yet.