OUP Kiswahili Dadisi Grade 1 Workbook
KSh389.00 Original price was: KSh389.00.KSh350.00Current price is: KSh350.00.
Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mfumo mpya wa umilisi, Vitabu hivi vinaelekeza kikamilifu kufanya mazoezi ya lugha kwa njia ya kufurahisha na kuelimisha. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umitisi wa msingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani.
ISBN: 9780195747362
Related products
-
Moran Beginning Movement Activities Grade 1
KSh539.00Original price was: KSh539.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartBeginning Movement Activities is a day-to-day fun and learn activity book.
The book is carefully prepared to enable the learners enjoy as they further their competencies, skills and understanding of all the specific learning outcomes in the curriculum design. Peer assessment activities have deliberately been included in the book to enable learners engage in active learning and develop their ability to reflect on what they learn as they learn from others.
This platform is one way of developing numerous competencies and skills through the various activities. With Beginning Movement Activities, it is learning, growing healthy and having fun.
ISBN: 9789966634337
-
Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1
KSh355.00Original price was: KSh355.00.KSh320.00Current price is: KSh320.00.Add to cartStadi za Kiswahlli ni Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 1 ni kitabu cha ziada kilichoandakwa kwa mujibu wa mtaala mpya uegemeao umilisi uliozinduliwa na Taasisi ya Ukuzaji Mitaala ya Kenya (KICD) mnamo Septemba 2017. Kitabu hiki kimejumuisha mada zote kuu na ndogo zilizomo katika ruwaza ya mtalaa ya Kiswahili Gredi ya 1. Isitoshe, mada kuu na ndogo zimepangwa kulingana na jinsi zilivyopongwa katika ruwaza hiyo. Fauka ya haya, yaliyomo yamewasitishwa kwa ubunifu wa hali ya juu kuyaoanisha na umilisi wa kimsingi, masuala mtambuko, maadili miongoni mwa masuala mengine yanayofumbatwa na mtaala mpya uegemeao umilisi. Kitabu hiki kimejumuisha shughuli za aina nyingi za kufanywa na mwanafunzi binafsi, wanafunzi wawili wawili na makundi ya wanafunzi. Kazi na shughuli za wanafunzi wawiliwawili na wanafunzi katika makundi zinadhamiriwa kuimarisha stadi za kusikitiza na kuzungumza na vilevile umilisi wa ushirikiano na mawasiliano. Aidha, kitabu hiki kimesheheni vifungu vya kusoma na vya kuchangamsha vitakavyomsaidia mwanafunzi kuimarisha stadi ya kusoma. Stadi ya kuandika haijaachwa nyuma. Kitabu kinazo shughuli za kutosha za mwanafunzi iii kustawisha stadi ya kuandika.
ISBN: 9789966630520
-
KLB Visionary Hygiene & Nutrition GD1
KSh340.00Original price was: KSh340.00.KSh300.00Current price is: KSh300.00.Add to cartHygiene and Nutrition Activities is a course intended to equip learners with basic knowledge, skills. and attitudes that promote a happy and healthy lifestyle. The learner is empowered to take care of his or her own wellbeing as well as that of others. The learner is sensitized to adopt healthy practices in order to prevent the occurrence of infections associated with poor hygiene and sanitation practices.
This Learner’s Workbook for Grade 1 comprehensively covers the 2017 competency-based curriculum. The learning activities are presented in a simple concise language and in an attractive layout designed to make the workbook learner friendly.
This workbook incorporates Pertinent and Contemporary Issues (PCIs) as required in the curriculum designs. Some PCIs addressed include education in the following areas: life skills and values, health, and environment.
ISBN: 9789966652386
-
Read more
Spotlight CRE Activities Learner’s Book Grade I has been uniquely designed to greatly benefit Primary One learners in handling New Curriculum CRE Activities. It comprehensively covers Primary 1 CRE Acoviaes Curriculum Design as per the Competency-based Curriculum introduced by the Kenya Institute of Curriculum Development (KICD) M 2017 It is presented in a clear. simple and precise language that makes learning interesting.
ISBN: 9789966571724Â -
KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili Grade 1 (Approved)
KSh311.00Original price was: KSh311.00.KSh280.00Current price is: KSh280.00.Add to cart
KLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 1 (Kitabu cha Mwanalunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi.
Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya linsia. utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu.
ISBN: 9789966652324
Reviews
There are no reviews yet.