Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Nimefufuka! 7B

Original price was: KSh308.00.Current price is: KSh280.00.

Sikitu anasongwa na matatizo mengi katika maisha yake. Hana mtu wa kumfariji ila shangaziye anayeishi mbali naye. Hisia za Sikitu ni kama za mfu, amepoteza njia , amevishuhudia visa na mikasa kwa awapendao. Madawa ya kulevya na ufasiki vimewateka wanaopaswa kuwa karibu naye. Lakini anajua kuwa baina ya mauti na uhai, kuna kitendo.

Kitendo cha kupalilia uhai au kukaribisha mauti. Sikitu anapochukua kalamu na karatasi kuandikia shangaziye barua, hajui kwamba ameanza safari. Kabla ya kutia nanga, anajipata ana jipya jipya………Chaurembo na tayari amefufuka!

ISBN: 9789966369708

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Nimefufuka! 7B”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Now Button